LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Katika ilani ya CCM na ahadi katika uchaguzi uliopita suala la barabara lilikuwa agenda kubwa hasa barabara za kuunganisha mikoa ya pembezoni kama Katavi na Kigoma.
Na pia barabara za vijijini.
Ahadi kubwa ilikuwa ni ujenzi wa barabara kuboresha mitaa ya jiji la Dar es Salaam ambao ulifanikiwa sana manispaa za Kinondoni, Temeke na Ilala na sasa tulihaidiwa manispaa za ubungo na Kigamboni.
Kwa sasa hakuna dalili ya utekekezaji wa ahadi hizi. Je, tuhesabu mipango imekufa au tunasubiri embe chini ya mnazi?