Ujenzi vyumba viwili na seblue

TASMANIA

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
656
723
Poleni kwa uchovu wa siku nzima, ni matumaini yangu ni wazima Wa afya.

Swali langu ni nahitaji jumla ya shilingi milioni ngapi kujenga kibanda cha vyumba viwili na seble??

Asanteni
 
Kibanda cha maboksi,mabati au tofali?
 
Poleni kwa uchovu wa siku nzima, ni matumaini yangu ni wazima Wa afya.

Swali langu ni nahitaji jumla ya shilingi milioni ngapi kujenga kibanda cha vyumba viwili na seble??

Asanteni
tafta 13M tu nipm nikutaftie mafundi cheapest tena wanatoka mkoani gawajui hata kuiba nondo wala cement utafrahi mwenyewe. Mi nimefanya hivyo kujenga very cheap
 
Kwa kawaida ghalama za ujenzi hasa material ya kujengea zinatofautiana na mahali ulipo kama upo dar ujenzi wa tofali za cement ndo unatumika xna na ghalama zake zipo hivi kila chumba kimoja kinatumia tofali 350 hadi 400 kwa ukubwa wa futi 12/12 tofali moja ni shilingi 1,200x 400=480,000/- vyumba 2 vitakuwa 960,000/- sebule itatumia tofali 500 au 600..ila kama unataka sebuke ndongo ya futi 12/12 au 10/10 ghalama itapungua kidogo basi tufanye 960,000+ 480,000= 1,440,000/- tofali pekee itakughalamia kiasi hicho...bado ghlama za ufundi,MABATI.NONDO MBAO..CEMENT MCHANGA NK..KWA KUKADILIA ANDA MILION 5 AU 6 HIVI MKUU KWA VYUMBA VIWILI NA SEBULE..
 
Good analysis. Bila shaka utakuwa fundi. Ila nadhani Mil. 6 ni bila finishing.
 
Kiwanja changu kipo Bunju, nashukuru kwa mchango wako. Tayari nimekwishanunu Tofali elfu moja. Fundi amesema atajenga kwa tshs. Laki tano bila kuweka lenta. Then lenta mpaka finishing tutapatana upya
 
Kwa kawaida ghalama za ujenzi hasa material ya kujengea zinatofautiana na mahali ulipo kama upo dar ujenzi wa tofali za cement ndo unatumika xna na ghalama zake zipo hivi kila chumba kimoja kinatumia tofali 350 hadi 400 kwa ukubwa wa futi 12/12 tofali moja ni shilingi 1,200x 400=480,000/- vyumba 2 vitakuwa 960,000/- sebule itatumia tofali 500 au 600..ila kama unataka sebuke ndongo ya futi 12/12 au 10/10 ghalama itapungua kidogo basi tufanye 960,000+ 480,000= 1,440,000/- tofali pekee itakughalamia kiasi hicho...bado ghlama za ufundi,MABATI.NONDO MBAO..CEMENT MCHANGA NK..KWA KUKADILIA ANDA MILION 5 AU 6 HIVI MKUU KWA VYUMBA VIWILI NA SEBULE..
hahaahahahaha.. kumbe najenga kabisa aisee
 
Kiwanja changu kipo Bunju, nashukuru kwa mchango wako. Tayari nimekwishanunu Tofali elfu moja. Fundi amesema atajenga kwa tshs. Laki tano bila kuweka lenta. Then lenta mpaka finishing tutapatana upya
Mkuu TASMINIA vipi umefikia wapi kwenye ujenzi wako?
 
Poleni kwa uchovu wa siku nzima, ni matumaini yangu ni wazima Wa afya.

Swali langu ni nahitaji jumla ya shilingi milioni ngapi kujenga kibanda cha vyumba viwili na seble??

Asanteni
Tofali 1500 pamoja na choo. Andaa Milion 8 Jumla kila kitu. Nina Uzoefu wa Kujenga Majumba
 
Kwa kawaida ghalama za ujenzi hasa material ya kujengea zinatofautiana na mahali ulipo .
Mkuu, asante kwa uchanganuzi... You look to be bright upstairs, a person who can offer solutions. Yan kama hujatajirikaga mpaka saa hizi, sio uzembe wako, itakuwa tu ni nyota haijang'aa bado...
 
Back
Top Bottom