Ujenzi: Namna sahihi ya kupunguza gharama wakati wa kujaza kifusi

Punguza gharama alafu siku ya mwisho sakafu ianze kudidimia ndyo akili zitakukaa sawa
Labda umeelewa vibaya mkuu, unaweza kupunguza gharama na ubora ukabaki pale pale. Na hilo ndio lengo la kuja hapa ili kila mmoja atupe uzoefu wake
 
Back
Top Bottom