Ujenzi kutumia Interlocking blocks

Ukitoka Mlimani city kwenda Mwenge baada ya petrol station ya Oil com kuna kiwanda cha Serikali/Wizara ya ujenzi hizo tofari zimejaa tele unabeba tu bei ni TZS. 500 kwa moja au wapigie Ujenzi empire 0716 023 456 karibu
Mkuu nipe location kamili ya hicho kiwanda cha wizara ujenzi, nashida sana na machine
Ujenzi empire machine zao ghali sanaa
 
Ukitokea mwenge baada ya petrol station ya Puma kama unakwenda mlimani city au wanapochonga vinyago round about ni upande wa kulia fensi yao wamejenga kwa kutumia hizo tofari, wamepakana na Oil com petrol station
 
Ok sawa, nimepajua
 
Ukitoka Mlimani city kwenda Mwenge baada ya petrol station ya Oil com kuna kiwanda cha Serikali/Wizara ya ujenzi hizo tofari zimejaa tele unabeba tu bei ni TZS. 500 kwa moja au wapigie Ujenzi empire 0716 023 456 karibu
Mkuu asante sana kwa taarifa murua, umeokoa jahazi. Nitawatafuta japo mimi nataka nijenge shinyanga
 
Ngoja nitarudi.naenda kuuliza
Ukitoka Mlimani city kwenda Mwenge baada ya petrol station ya Oil com kuna kiwanda cha Serikali/Wizara ya ujenzi hizo tofari zimejaa tele unabeba tu bei ni TZS. 500 kwa moja au wapigie Ujenzi empire 0716 023 456 karibu
 
Mkuu nipe location kamili ya hicho kiwanda cha wizara ujenzi, nashida sana na machine
Ujenzi empire machine zao ghali sanaa
Angalia hapa wana hizi mashine #7
 
Angalia hapa wana hizi mashine #7
Ngoja nitawacheki keshooo
 
Nationa Housing wametumia sana hizi tofali kwenye ujenzi kule kigamboni ingefaa kama wangesema hazina faida au vipi au watoe elimu kwa wananchi.
 
Kwa wataaluma wa ujenzi, naomba kufahamishwa tofauti iliyopo kati ya hydroform block na interlocking block na he ni aina gani nzuri kwa ujenzi wa nyumba?
 
... Kenya wanaifanya sana hii kazi sijui tufuate mafundi huko? halafu tukiwaleta tz makandarasi wanaanza kulalamika, ...
Hapo ndipo haya ya kuchomewa vifaranga yalipo, watu wanaenda extra mile wao wanakuja kukuharass, watanzania ssometime tuna uzembe asee..!
 
Ninachopendea baadhi ya design za interlocking blocks ni kwamba zina mwonekano mzuri, hata bila finishing inapendeza.

Pia ukiwa na tofali za kutosha, hata wiki mbili haziishi nyumba unahamia.

Zaidi ya hayo, zinapunguza sana drama za fundi ujenzi na zinasaidia makisio sahihi ya ujenzi wa Boma
jamaa anasema kwamba ujenzi huu ni gharama kubwa, hajatuambia inatofautiana kiasi gani vs ujenzi wa kawaida?
 
Ngoja nichangie hili coz lipo ndani ya uwezo wangu ndugu zangu tusidanganyike ujenzi wa wa hivi vitofali ni gharama mno kuliko ujenzi wa kawaida kwanza size ya tofari unayonunua 500 inabidi upate vitofari vi 3 kufikia size ya tofali moja la kawaida mfano nyumba ya vyumba vitatu kimoja master +dining +kitchen+siting room utatumia si chini ya vitofali 10000 wakati kwa kawaida ni tofali 4000 au 3500 sasa piga bei ya 500x10000 then piga kwa tofali la kawaida kwa bei ya 1000 kila tofali x4000
 
Kumbuka hizi tofali zina dimension tofauti tofauti
Kuna Dimension hizi
1. 250mm x 125mm x 62.5mm
2. 250mm x 125mm x 65mm
3. 250mm x 125mm x 70mm
4. 250mm x 125mm x 72.5mm
5. 300mm x 150mm x 70mm
6. 300mm x 150mm x 75mm
7. 300mm x 150mm x 110mm
8. 300mm x 150mm x 140mm

Kwahiyo choice ni yako. Kuanzia namba tano mpaka namba 8 hizo size zimepishana kidogo sana na hizo tofali zetu tulizozizoea mtaani. Ila kama unataka muonekano mzuri sana hizi tofali ndogo zitakufaaa

Tukija kwenye mchanganuo hizi tofali huwa zinafidia gharama zingine kama plaster, skimming, rangi. Pia ni ujenzi wake hauna mambo mengi mfano badala yakukata ukuta uweke bomba za wire au maji hizi hutokata bali utapitisha kwenye yale matundu
 
Kumbuka kwenye msingi utaweka tofali za kawaida na utatumia cement ya kujengea kabisa
 
Back
Top Bottom