Ujenzi jengo la Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji jijidi Dodoma waendelea vizuri

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Kamishna Generali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala atembelea eneo la Ujenzi na kuomba Mkandarasi SUMA JKT kuongeza kasi ya Ujenzi

FB_IMG_16008540263168708.jpg
FB_IMG_16008540177167411.jpg
FB_IMG_16008540124178375.jpg
FB_IMG_16008540055443383.jpg
 
CCM hawana kipigo cha kumpiga mtu akalia, bali wanawizi tu ndio wanaotumia, sasa safari hii mtajamba cheche na mtakunya moto.
 
Maisha ni magumu nyinyi!.. oneni huyu anavyowaza..😂
Mkuu, nina ka site kangu kanahitaji hiyo malighafi by the end of this month ili niendelee kujenga 'mnara wa Babeli'. Hii minara inakula sana cement na kokoto. Just imagine, ili kuweza kupata concrete grade ya M25 unahitaji kijiko kimoja cha cement kiendane na vijiko viwili vya kokoto ihali mchanga ukiwa ni kijiko kimoja.!
 
Back
Top Bottom