Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

[Acha kutudanganya bwana mimi ni fundi na nimejenga nyumba zangu pia. Hiyo finishing touch unaweka nini? dhahabu? Hiyo nyumba haiwezi kutumia matofali 8000, wala mabati 100, nondo piece 200 hata kama ni 16 mm na kadharika na kadharika. Nyumba za serikali haziwekwi marembo rembo kama za watu binafsi. Kwa mil 40 najenga hiyo nyumba na chenji inabaki. QUOTE="Architect E.M, post: 36099842, member: 31658"]

Kama kuna finishing touches nzuri huko ndani, na structure ilijengwa kwa viwango stahiki, no way hiyo nyumba ni less than 100m.. mnaosema milioni sijui 60, 70 mnaongelea very low qualoty houses...
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom