ujenzi eneo la jangwani

mymy

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
296
110
Good morning wana jf. mwenzenu mbona naona kama network zinakata kila nikiangali ule ujenzi unaoendelea pale jangwani. maana navojua eneo lile ni bonde la mto Msimbazi, ambapo pia ni mkondo wa maji kuelekea bahari ya Hindi. sasa leo ukipita pale utaona bonde lile upande wa jangwani limejazwa kifusi. swali langu je mvua zitakapo nyesha maji yatapita wapi? au yatapita juu ya barabara ya morogoro?
 
umejiuliza kwa nini hakuna comment kwenye uzi huu?JAribu kufikiriA ujinga zaidi utApata jibu kuhusu swal lako
 
Tunasubiri maji yapite kariakoo yaue watu afu tuunde tume ya kuchunguza,kisha tutoe tamko then serikali ijipange ili lisijirudie tena!
 
umejiuliza kwa nini hakuna comment kwenye uzi huu?JAribu kufikiriA ujinga zaidi utApata jibu kuhusu swal lako

mbona umejibu jibu la lejaleja sana???? Hembu funguka basi ili ututoe tongotongo sisi tuonao kiza mbele.
 
umejiuliza kwa nini hakuna comment kwenye uzi huu?JAribu kufikiriA ujinga zaidi utApata jibu kuhusu swal lako

Yap yap na ndio maana Billgate alishawahi kusema akipata kazi ngumu atampa mtu mvivu ili agundue njia rahisi ya kuifanya,ngoja na mie nifikilie kijinga jinga tu nipate majibu kwanin wameweka bonge la kifusi pale kwenye njia za maji.
 
Good morning wana jf. mwenzenu mbona naona kama network zinakata kila nikiangali ule ujenzi unaoendelea pale jangwani. maana navojua eneo lile ni bonde la mto Msimbazi, ambapo pia ni mkondo wa maji kuelekea bahari ya Hindi. sasa leo ukipita pale utaona bonde lile upande wa jangwani limejazwa kifusi. swali langu je mvua zitakapo nyesha maji yatapita wapi? au yatapita juu ya barabara ya morogoro?

Sina uhakika kama tathmini ya mazingira imefanyika, lakini kwa kweli ni bomu linalosubiri muda wake lilipuke.
 
Mimi nadhani hiyo ndo Characteristics ya corrupt government utaambiwa wanadevelop hilo eneo kwa sababu mwekezaji kapatikana wakati wananchi wa kawaida mmepelekwa mabwepande.

Back
Top Bottom