Ujenzi chini ya kiwango wa baadhi ya barabara manispaa ya Morogoro

wajingawatu

JF-Expert Member
Jan 20, 2013
2,048
2,442
Baadhi ya barabara za manispaa ya Morogoro zinajengwa chini ya kiwango. Barabara hizo e.g. Uhuru street, barabara ya kwenda Morogoro hotel, kutoka Masika hadi Misufini na ile inayoanzia Oilcom Kihonda hadi kama ipo ipo tu zimeishaharibika licha ya kujengwa kipindi cha hivi karibuni. Kwa imani yangu ujenzi huu unaashiria ufisadi na matumizi mabaya ya pesa za serikali.
 
Back
Top Bottom