Ujenzi barabara ya Ali Hassan Mwinyi wafikia Makumbusho Dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
1.Mafundi-wakiwa-kazini..jpg


Mafundi ujenzi wakiwa kazini.

2.-1.jpg
3-12.jpg

Kifusi cha udongo kikiwa pembeni katika ujenzi huo.


5.Zege-ikimwagwa-kutumia-kijiko-cha-gari-la-ujenzi..jpg
Zege likimwagwa kutumia ‘kijiko’ cha ujenzi.


UJENZI wa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi uliotokana na tamko la Rais Dk. John Magufuli wa kupanua barabara hiyo kutokea Mwenge hadi Morocco sasa umefika eneo la Kijiji cha Makumbusho ya Taifa sehemu inayojulikana kama Victoria jijini Dar.
Kamera ya mtandao huu imefanikiwa kunasa baadhi ya picha zinazoonesha ujenzi huo katika eneo hilo la Makumbusho .

Gpl.
 
Hizi nd'o fedha zileee..za Sherehe ya Uhuru...kuna watu nawajua hizi fedha walishazipangia mambo yao flani..inawauma sana.
 
Hiyo road wanaimaliza sasa hivi tu,ila inanichanganya kuwa itakuwa inatumikaje ???
 
Hiyo road wanaimaliza sasa hivi tu,ila inanichanganya kuwa itakuwa inatumikaje ???



Kwanini embu? funguka kwani si ni br. mbili kila upande yaani inaungana na ile iliyoishia Moroko na Mwenge?
 
Back
Top Bottom