Ujazaji wa mafuta(Refilling) UDART Ubungo tahadhali na usalama ukoje

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,911
Kumekuwa na ujazaji wa mafuta kutumia tankers lakini sijui kama tahadhali za kiusalama kwa majanga ya moto unazingatiwa maana eneo lile lina mkusanyiko mkubwa wa watu pale kituo cha mwendokasi maeneo ya ubungo terminal.Tank La mafuta linaweza kulipuka au kuna tahadhali tayari wanayo kama vifaa vya kuzima moto n.k?

Pia uchafuzi wa mazingira ni mkubwa maana kuna leakage na oil spill sana nimeshuhudia.

OSHA,NEMC na Mamlaka ya majanga na zimamoto hamuoni hilo?
20210105_171553.jpg
 
Back
Top Bottom