Ujazaji wa form za Board ya Mikopo kwa wanaotaka kujiunga na vyuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujazaji wa form za Board ya Mikopo kwa wanaotaka kujiunga na vyuo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chona, May 7, 2011.

 1. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Wakuu nimejaribu kwa muda wa week nzima sasa kujaribu kujaza form za mkopo kwa ajili ya ya ndg yangu anayetarajia kujiunga chuo mwaka huu. Licha ya kufanikiwa kupata Password na username baada ya kujaza preliminary information lakini imeniwia vigumu ku log in tena. Kila nikijaribu ku log in naambiwa
  Sorry, either your username or password is not valid!

  Lakini nikiangalia username ipo sahihi na katika mfumo uleule wanaoutumia yaani
  (e.g. S0143.0078.1990). Licha ya kupewa option ya kureset password kwa kuchagua swali nililoulizwa na kutakiwa kujibu jibu lile lie nililojaza, nimefanikiwa kupewa password mpya lakini nazo nikizitumia hazinisaidii zaidi ya kupewa message hiyo juu. Sasa najiuliza tatizo liko wapi?
  Nimejaribu kufill upya form naambiwa hiyo namba ipo regestered tayari kwa sababu ni ileile. Nikireset password inakubali na napewa nyingine ila nikiitumia hainiwezeshi kufungua ili niendelee kujaza form.
  Je kuna mtu amekumbana na tatizo kama hili?
  Je kuna mtu anajua jinsi ya kulitatua anisaidie!
  Nimejaribu kupiga simu kwenye hizo number walizotoa kwenye website yao kwa wanaohitaji msaada lakini hazikupatikana zote na hapo ilikuwa mchana ndani ya muda wao wa kazi.
  Nisaidieni ili niwezekumsaidia huyo mtu na jinsi ya kumsaidia ni lazima nijaze form za bodi ya mikopo.
   
 2. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  "Je kuna mtu amekumbana na tatizo kama hili?" limenikuta sana mpaka sasa sijapata solution yake, ukifanikisha tujuze jinsi ya ku deal nalo. Hizi ndo system zetu mkuu
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  hawaw bodi wamerkia technologia ambayo hawaiwezi, kutakuwa na mapungufu kibao tu kwenye hizo fomu
   
 4. j

  john petro New Member

  #4
  Jan 25, 2013
  Joined: Jan 25, 2013
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mie naona wajihudhuru 2 mana hakuna wanalofanya? Mkubwa tatizo hilo ni sugu kwa hawa maboc .endelea kuhagaika uckate tamaa.hao ndo zao.
   
 5. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2013
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Pengine muda wa kuomba udhamini haujafika. ninavyofahamu mpaka mwezi wa April.
   
 6. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2013
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Safi kaka! Hili ndiyo jibu sahihi. Now wana deal na waliokata rufaa tu iwe ya kukosa mkopo au kupunjwa mkopo.
   
Loading...