Ujauzito umenivunja nguvu na je pilipili ni salama kwa mwanamke mjamzito?

Mimi nilikuwa na kibarua cha kumchomea mama matesha mahindi.
Alikuwa ananunua mahindi anayaleta home, ananisubiri nimchomee. Nisipoyachoma mimi hali, na nyumbani palikuwa hapakaliki.
Mimba za kwanza noma asee.

Kwanza Hongera sana DADA PRETTY Umebarikiwa kuwa MAMA YETU! Mungu akubariki na kukupa afya njema hatima ye utuletee ka -UNCLE!

Usiogope wanasema IT COMES WITH THE TERRITORY !

Mama Junior yeye alikuwa akivaa mashati yangu niliyokwisha vaa; yaani nikivua yeye analivaa mpaka kesho ma hata siku yatutu ndo analifua! Nilishangaa lakini nilimwelewa na nikafurahi sana!

Ni RAHA tupu! Wala usijionee aibu!:target::target::target::target:
 
Hongea sana pretty, yani hapo ndo unajua thamani a mama. Njaa ni ktiu cha kawaida bse kwanza huenda ukawa unatapika mara kwa mara na pia huwezi kula kingi kwa wakati mmoja. Usiogope kunenepa mpaka akizaliwa akafikisha mwaka nawe utakua pretty tena na more than pretty utakapomuona huyo pretter mdogo!

Pilipili haidhuru, mi si mpenzi wa pilipili lakini nikiwa mjamzito naiona kama pipi! kuna walioniambia itadhuru macho ya baby lakini mpaka sasa wako3 cjaona mwenye shida ya macho pamoja na kunywa chai nayi lenye pilipili!
Vumilia bado one trimester utaitwa mom kaa mm!
 
Duh hii mimba yako ya ngapi kudaka? Kwanza pole,
Mimba bana huwa zinakuwa zinavituko kuna mke mmoja wa rafiki yangu mimba yake ilikuwa inanipenda kweli kweli mm asipo niona anajisikia upweke na asipo sikia sauti yangu halali alafu ikamchukia kweli kweli mme wake hizi mimba unaweza poteza urafiki bure hivi hivi lakini jamaa alikuwa anaelewa kwa kupewa ushauri na wakubwa.
Kama wewe imependa pilipili basi kazana kula ili ikue na kustawi vizuri, lakini angalia mtoto nae anaweza zaliwa akawa mkali kama pilipili.Lini utajikomboa tuanze kuandaa baby show na nepi?

Ahahahahahahaaaa duuuuh komredi umepinda si utani! Sasa ulidili vipi na hiyo hali? Ulimega au ulilaza damu? Ingekuwa mimi ningemega.....kumega kunarutubisha mimba ya mwanamke. Halafu mashine zao wenye mimba huwaga zina joto joto flani hivi tamu sana aisee.
 
Huna simile hata kwa marafiki? we unamega tu kama hali inaruhusu....LOL!, nakumbuka jamaa mmoja black american aliandika kwenye mtandao mmoja kwamba best wake alienda Iraq na kumuomba awe anapita nyumbani kuhakikisha shemeji yake hana tatizo lolote basi akammega na kuandika kama vile kujisifu kwa kummega mke wa rafiki yale aliyemuamini na kumuomba awe anahakikisha kila kitu kiko shwari. Jamaa walimtukana sana kwa kutokuwa mwaminifu kwa rafikiye.
 
Pilipili inaathari gani kwa mama mjamzito mke wangu anaujauzito lakini anapenda sana kula chakula chenye pilipili
 
pilipili siyo nzuri asile sana kwa mbali itamueffect mtoto atakuwa na macho manjano akizaliwa na pia rashes
 
........unanikumbusha last year majira kama haya, nilikuwa na kitumbo na pilipili nilikuwa nakula balaa........... tena nilikuwa napenda ile mbichi kabisa naitafuna.....nikaja kupata bouncing baby boy, na sasa yupo 9 months hana tatizo lolote. Hivyo naweza sema mwache bidada ale pilipili haina tatizo lolote.
 
Hakuna madhara mama mjamzito kula pilipili huashilia kuwa naukosefu wa mahitaji ya mwili k.m madini ambapo hulazimika kula pilipili.Ni vyema mama mjamzito kutumia mlo kamili ili aepukane na madhara ya baadaye.
 
Mi nilisikia, mama mjamzito akila pilipili sana, mtoto anakuwa na macho yaliyovimba.
 
pilipili ni kama stimulant nadhani. kama mjamzito hana high blood pressure inayojulikana sidhani kama pilipili ina tatizo. kama ana pressure inaweza kuwa elevated kidogo.
 
Jmn habari zenu..ni post ya mda mrefu sn lakn mwenzen hii hali ndo inanikumba saiv. Ni ujauzito wangu wa kwanza lakn unanitesa balaa. Amna kinachopita kwenye koo. Si maji,si tunda wala chakula cha aina yyt ile. Nkila natapika onspot. Nlienda hosp wakanishaur dawa zipo za kuzuia kichefchef lakn sio safe kutumia madawa. Wakanidunga sindano Ila ilinisaidia kwa cku 2 tu,baada ya pale ngoma mtindo mmoja. Kazini mpk nmeomba ruhusa mana naishiwa nguvu balaaa na amna nnachokula kikakaa tumboni.
Naombeni ushauri kwa wenye ujuzi,au uelewa wowote juu ya hii hali.
Asanteni.
 
Pole sana Joy.
Pengine ungerudi hospitali uwasikie wanasemaje.

Hongera pia.
 
Ulaji wako ukiwa wa hafifu unamwathiri mpaka kiumbe aliye tumboni. Kuna mfano hai sster du naye alikuwa anasema hataki kunenepa, alikuja kuzaaa mtoto 2.5 kg na mpaka leo hii afya ya mtoto haipo vizuri.
Kumbuka upandando ndicho...........................................................................
 
Back
Top Bottom