Alama ya mpinga kristo ikoje ?Yule mwenye ile alama ya mpinga Kristo kwenye paji lake la uso.
Alama ya mpinga kristo ikoje ?Yule mwenye ile alama ya mpinga Kristo kwenye paji lake la uso.
Mkuu mimi kwangu imekua nzito kufunguka yaani inaload hatariSomething is wrong somewhere!
kila nikijaribu kufungua threads za the bold kupitia app ya JF zinagoma. nimeuninstall app nikadownload tena lakini tatizo bado lipo.
Tatizo hili ni kwa threads zilizoanzishwa na the bold pekee, hususan "the richest man in Africa" na huu mpya wa "ujasusi sebuleni kwetu".
Slim thug sio mtu wa mchezo mchezo!
kuna gharama buku tano labda kama kashusha. jamaa anakuja kuvuna walevi wa simulizi zake na kuwapeleka wassup. hivi sasa mimi nishabiki wa humble africa dogo ana andika story inaisha. kama ile michael angelo duuu kuna mtu nilimpa akaisoma akajiunga jf siku hiyo hiyoMkuu Habibu B. Anga Kuna gharama yeyote kujiunga kwenye group la whatsapp?
Mtu anafanya anachokipenda na mwishowe hicho ndo fursa kwake..hiyo sio dhuluma ni kazi ya mikono yake,tuambie wewe kitu gani unapoteza mda wako kuandaa halafu una share humu bure?usiwe na akili za kimaskini...heshimu professional za watu kwani eric shigongo kafanikiwa kwa kazi ganikuna gharama buku tano labda kama kashusha. jamaa anakuja kuvuna walevi wa simulizi zake na kuwapeleka wassup. hivi sasa mimi nishabiki wa humble africa dogo ana andika story inaisha. kama ile michael angelo duuu kuna mtu nilimpa akaisoma akajiunga jf siku hiyo hiyo
Gharama za kujiunga na Humble African?kuna gharama buku tano labda kama kashusha. jamaa anakuja kuvuna walevi wa simulizi zake na kuwapeleka wassup. hivi sasa mimi nishabiki wa humble africa dogo ana andika story inaisha. kama ile michael angelo duuu kuna mtu nilimpa akaisoma akajiunga jf siku hiyo hiyo
akimaliza hii utavua nguo dk ngapi?NEXT EPSODE:itakua samahani kwa usumbufu siwezi endelea na hii makala sababu familia ya Ghailani kule zanzibar wameona inawadisturb maisha yao kwahyo basi sitaendelea nayo na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeambiwa nisiendelee.😀😀😀 hii makala nayo haiishi na nilijua tu ukikatisha ile ya kagame basi itafuata hii ya 1998 balozi kulipuliwa halafu nayo itakatishwa next epsode.
Akikujibu nitag namiGharama za kujiunga na Humble African?
NEXT EPSODE:itakua samahani kwa usumbufu siwezi endelea na hii makala sababu familia ya Ghailani kule zanzibar wameona inawadisturb maisha yao kwahyo basi sitaendelea nayo na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeambiwa nisiendelee. hii makala nayo haiishi na nilijua tu ukikatisha ile ya kagame basi itafuata hii ya 1998 balozi kulipuliwa halafu nayo itakatishwa next epsode.