Ujasusi ni nini??

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Naomba kueleweshwa maana ya neno Ujasusi manake kuna Thread humu inaelezea ujasusi nnchini wengine tumetoka kapa, hili neno geni kwetu, au mwenye tafsiri yake kiingererza ili tuligoogle. Nashukuru.
 
Neno ili limetokana au limekopwa kutoka kwenye lugha ya Kiarabu Tajassus,kwa maana ya upelelezi... mpelelezi anaitwa Jasus... Sisi tunatamka JASUSI, kwa maana hiyo Jasusi ni mpelelezi.

NB:
Ila mara nyingi linatumika kwa mtu ambaye ametumwa na nchi yake kwenda kupeleleza nchi nyingine.
 
Sawa sawa!
 
asante na mimi nimepata pia ili ukizama zaidi utasaidia wengi sana
 
ASANTE SANA KUTUSAIDIA

Back
Top Bottom