Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,515
- 6,489
Haya nduguAcha uoga na ulimbukeni, hicho kitabu kiko out of print huwezi kipata duka lolote, humu ndani hatuchunguzani, kama ni kazi unayoifanya basi ni wewe na siku ukitatizwa na ninachokisema au kukiandika, rejea kwenye ID yangu, ambayo ni jina langu halisi, nanimeweka picha yangu halisi, sina uoga na ninachokiandika wala kukisema humu, wewe kinachokuogopesha ni nini wakati kitabu chenyewe kilikuwa huru kununuliwa na mtu yeyote, huwezi kukifanananisha na Shadow World/Animal Farm au Satanic Verses, hiki hakijawahi kuwekewa pingamizi sehemu yoyote duniani kasoro Russia.