Mwalimu wa masomo ya ujasiriamali nipo kwa ajili yenu

comesucces

Senior Member
Feb 21, 2017
160
105
Mwalimu wa masomo ya ujasiriamali nipo kwa ajiri yenu

Kwa wale tu wanaohitaji mafanikio katika ujasiriamali nipo kwa ajiri ya kukupa ushauri ,kujibu maswali Na Na mahitaji ya VITABU vya ujasiriamali kwa wanaohitahiji
NOTE' tunatoa ushauri kwa wanaoanza biashara ndogondogo Na kuandaa business plan kwa biashara ndogondogo kwa muda wa siku tatu tu ili kufanikisha malengo Yako kwa muda mfupi tu,lakini pia VITABU vya ujasiriamali, Mashine za tambi,Mashine za crips, Mashine za kupambia Keki n.k kwa bei nafuu

Karibu
 
mna kiingilio?
 
Inasemekana ujasiriamali haufundishiki sawa na mapenzi huwezi kumfundisha ntu
 
Hakuna kitu kisichofundishika kila kitu kinafundishika ila utekelezaji ndo tunatofautiana

Just long dedication
 
Back
Top Bottom