Ujasiriamali na masomo

Davis chelsea

Member
Jul 28, 2011
93
10
Guys ukiwa unasoma chuo kama udsm unaweza kufanya ishu yeyote ya kukuingizia kipato?naombeni mniambie kama inawezekana na ni ishu gani au biashara gani mtu unaweza fanya
 
Elimu ya Tz ni ngumu sana. Inawezekana ila inabidi uwe na kichwa Flexible sana. Na sana sana mtu anaweza kufanya shughuli zake nyingine kama anasoma Evening studies,ila kwa Fulltime inasumbua. Shughuli yoyote unafanya ila ni ile ambayo haikuweki mbali na chuo sana,kama kusafiri.
 
well kwa udsm pale utata kidogo coz kwanza chuo kipo mbal na town (labda kama shughuli zako ziwe huko huko au maeneo ya jirani kwa sababu muda huwa ni issue sana unapodouble mambo kwa wakati mmoja afu ili uweze kufanya mambo yako mengine atleast uwe unasoma evening college,kwa IFM au CBE life easy
 
Back
Top Bottom