lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Namshukuru Mungu kwa kudra zake mpaka leo nakuja kuandika hapa. Sasa bwana bado nakomaa na jiji! Tutabanana hapa hapa! Huku na huku mizuka ya kufanya biashara zangu wenyewe imenivaa mzima mzima! Mim experience ya biashara ninayo sanaaa. Kwanza bi mkubwa wangu ni mfanya biashara mda mrefu sema sio risk taker kabisaa! Biashara zake sio za kutaka kutajirika bali asiumbuke tu mjini hapa. afu mtu wa kusita sita so yupo kuajiriwa zaidi na ansisitiza niache upuuzi nitafute kazi haraka. Ole wangu. Ila pamoja na hayo nimefanya kazi za marketing kwa makampuni kibao na kama ujuavyo marketing ndo unamtajirisha mtu. Basi tu kwa kufollow muongozo wa Kottler nilikuwaga phenomenon seller, awards kibao na outstanding performance hadi watu wakahisi nalogaaa! Ila sasa kufanya changu ndo kimbembe pichu inanibanaje!!!!!!!! Chezea kuzika hela!
Nikaonaaa hata ale ya masoko ya multinational niachane nayo, nichukue training ya huku kijiweni kwa maza zangu na mashosti wanaoendesa business zao wenyewe. Nikwaambia kabisa mimi nina tupesa hutu nataka nijaribu riziki upande wenu huu. Wakaniambia wewe msomi bwana huku hutokuweza! We ushazoea AC, mambo ya huku tunyaweza sie tu, utakufa na pressure na wewe bado mdogo saana. Ikabidi niwapigie magoti (chezea kurudi kijijini Marangu) na kulia lia coz naumwa siajiriki karibuni manake siku 4 naumwa 3 mzima nani ataniajiri. Afu bili za hospitali, na hata sijui ntapona lini Nisaidieni mwanenu. Ndo maana nimekuja huku sikwenda kwa ma Md na Ceo maji ya shingo. Mkinitupa na nyie ndo nimekwishaaa! Na pesa ninayo japo si nyingi sana kuanzia sio mbaya!
Waniambia LIVE! Biahsara sio lelemama! Mtaji unagomba vibaya mnooo! Ukilegea tu umepoteaaaa! Inawalazimi mda hadi mda afanye vitu they are not proud of! Coz walikimbia uamnde, wengine wazazi uwo mdogo hawakusoma na jiji wanalipenda kwao failure in business is not an option! Not once or twice wamefanya the dispeakable wala sio ndo wmefika mwisho, ikiwalzimu watafanya tena na tena mpaka kieleweke! Mmmmmmmmmmmmh! Mh!
Aunt Liz ana bonge ya saluni afu mke wa mtu "Mimi Liz niliapa baba C mzazi mwenzangu wa zamani sintokaa nimsalimie wala akifa sito mzika, lakini saluni hii ilifilisika hata kodi sikuwa nayo, walivunja wakabeba vifaa vyoteeee, mume wangu nae mambo yake yalikua yamekwamaaa vibayaa, watoto 3 wako genesis nadaiwa million karibia 15 ada,fremu hii million 4 nadaiwa kodi, nimetoka kujifungua sina hata mwaka, kidogo nidate nikaenda kwa mhshimiwa baba mtoto wangu, na yule mtoto niliezaa nae, nikampiga magoti na kumwambia mwanangu apige magoti japo nilijiapisha mambo mengi nikajikuta tu i beg for money machozi yaanimwagika. Na alivo firauni akadai pesa sio ishu atanipa zote za ada na saluni kuifufua ila kanimisi sanaa anataka mchezo wa kukumbushia! LoooooooH! Jinsi nilivkuwa na shida mpaka kwenye makalio nikatoa mchezo ndo kusurvive mjini. Na baad ya kujifosi first time, nikikwama simu tu tunafanya yetu nachukua mtaji. UNAWEZA KUFANYA HAYA? KAMAHUWEZI CHUKUA BAHASHA UANZE KUZUNGUKA MAOISINI UKISAKA KAZI UPESI SANAAA!"
Dada J, dada J mke wa mtu, n nasimamia maduka ya mumewe karakoo, mumewe ananda china. "Mimi usione niko hivi, baba B hana mtaji wa kufunga makontena yae mwenyewe huko China, sasa yule mama Family friend wetu T mwenye sura kama ndimuuu, sio family friend wala nini, anatembea na mume wangu na mie najuaaa! Sasa yule ndo anafungaga makontena yake baba B anajazi mizigo buree huku anamkaza ki silencer, biashara zinanenda! Nilivojua nilinuna sanaa lakini turudi maisha ya chumba kimoja? Nimekazaa tu roho nikamhurumia mume wangu anajitoa mhanga kwa familia kumkaza mtuhumpendi inataka moyo!!!!!! Afu mimi naekula jasho lake ninune nune na kumstress itakuwa selfish sanaa Saivi na imagine tu hio scenario haipo. Huyo dada anataka wazae saivi, baba B akaja kuniambia nikamwambia poa tu, ila nikampigia mama Kamachumu Kagera akaniambia iko dawa ya kienyeji namtilia kwenye juice mara moja kwa mwezi HAZAI ng'ooooooo hata aende wapi! Kazi yao kwenda china kufanyiwa check up za kitaalamu! Nyoooooo! Hazai mtu hapa.! Ndo maisha na usomi wako unataka kuishi????? Wewe mdogo wangu nenda katafute kazi, na uombe upewe mume mfanya kazi kama ndo bank ama wapi ila ya huku kariakoo tuachie dada zako wenye roho za mchongoma!"
Mama J, huyu mama mtu mzima tu kama late 40's hivi mke wa bosi. " Mimi nachoweza kukwambia kwenye business 2 + 2 sio = 4 kwenye biashara! Inaweza kuwa = 1,3,5 hata 8 ikibidi! Mimi biashara hii ya kuku 4000 hawa usiione hivi. Niliiba hela za mume wangu million 15 bank kwenye account ya watoto ya ada wakati naanza nikaweka kuku, kujenga mabanda na vijana. Maafuriko yale walikufa na kusombwa na maji kuku wote 3000. Tena wamebakia wiki niwauze. Pichu ilinibanaaa! Hela ya watu nitarudishaje? Ada mada wake ndo umefka! Mhhhhhhh! Mume wangu alivojua alinifukuza nikarudi kwetu hadi aliposhauriwa umri wetu ushanda sanaa pesa kitu cha kuita anisamehee asizeeke mwenyewe ndo kunirudisha na kunipa mtaji mwengine ndo mpaka leo nafuga hivi hapa!Ningekuwa na preesure nisingsalimika mda ule.! Sasa wewe mdogo wangu unaniambia una vihela vyako, hamad leo yakikukuta yale, na unaoumwa si utavua nguo wewe? Katafute kazi mdogo wangu, ungekuwa hujasoma ningekwambia ukomae coz huna jinsi ila wewe mimi nakuaminia utapona urudi kwenye fani ulizosomea.
JE NITAFUTE KAZI KAMA NISHAURIWAVYO AU NIKOMAE NA HARAKATI ZA KUJASIRIA MALI???????????
Ngoja mgonjwa akapumzke na kumeza dawa! Tutandelea Part 3 siku ingine shuhuda bado ziko nyingi sana.