mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 613
Baada ya tangazo kutolewa na Wizara ya kazi na ajira kwamba waajiri wote ndan ya siku 7 wawe wametoa mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wake pa1 na maagizo mbali mbali waliyopewa.
Nikiwa kama kibarua kwenye kampuni moja ya ujenzi nilishuudia tangazo hilo Lilipowafikia wahindi hao na mpaka sasa sijaona wala kuhisi dalili za utekelezaji wake, wamekua wakitufanyisha kazi mpaka siku za public holidays bila malipo, ubaguzi wa waziwazi, wanatoa mishahara midogo isiyokidhi, wanafuta kazi watu wanavyojiskia.
Kila mwezi wanaongeza wafanyakazi toka kwao India tena wasiokua na taaluma yoyote wakifika huku wanajiita mainjinia .