Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why za baridi au upo sehem ya joto feni inatema Moto wa oryxHata mimi ni muoga sana kusimama na kuanza kuongea mbele za watu ila nikinywa bia tano(serengeti lite za baridi)huwa napata ujasiri wenye heshima na kupangilia maneno vizuri mno
Hahaha aiceee hii mbinu pia iliniokoa enzi za chuo sema Mimi nilikuwa nastua na value kidogo kuleta confidenceFanya mazoezi mbele ya kioo cha kuvalia (dressing table) mbinu hii ilinisaidia wakati nnikiwa chuo mihadhara Ile watu zaidi ya miamoja nilipiga tizi kama vile naongea na watu, huku nikichagua maneno mazuri yanayoendana na mkutadha husika nilifaniwa sana sana, Fanya hivo kiongozi utanishukru
Hahahhahah weweeeePiga safari zako 3 utatambulisha hadi ma ex zako....