Ujasiliamali wa Kibongo mh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujasiliamali wa Kibongo mh!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by ngoshwe, Nov 12, 2009.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ZIDUMU FIKRA "SAHIHI" ZA MWENYEKITI WA CHAMA......!"(itikia........)

  NIMEFURAHI KUONA JINSI WAJASILIAMALI WA NYUMBANI WANAVYOJITANGAZA KIMATAIFA KUPITIA

  http://www.tanzaniabizdirectory.com (Tafadhali chungulia, kidogo kama unaipenda nchi yako). LAKINI JE, MAFANIKIO YAPO KWELI KWA MATANGAZO HAYA??????  KAMA WACHINA, WABANGLA - (!), WATAIWANI na WAFANYABIASHARA TOKA MASHARIKI YA KATI NA MBALI WAPO BONGO, kWA VIBALI VYA KUFANYA BIASHARA ........

  NA KAMA WAKENYA, WAGANDA NA WAZIMBABWE WANAFANYABIASHARA ZA "UMACHINGA" TANZANIA,

  JE, NI WATANZANIA WANGAPI LEO HII WANAWEZA KUSAFIRISHA BIDHAA ZENYE ASILI YA TZ KWENDA KWENYE NCHI AMBAZO WATU WAKE WAKO BIZE MITAANI (KONGO, KARUME,MJI MKONGWE, KISIWA NDUI, DARAJANA NK) NCHINI KWETU WAKICHUUZA NA KUTANGAZA BIDHAA ZA NCHI ZAO NA WATZ TWAZIFURAHIA HATA KAMA HAZINA UBORA...?????


  KAMA NCHI YETU INAKITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KINACHOHAMASISHA ZAIDI KWA VIVUTIO VINONO KWA KWA "WAWEKEZAJI WAGENI" HUKU IKITUHIMIZA WAZAWA TUJITAHIDI KUIGA MIFANO YA WAGENI.......,

  NI VIPI WAZAWA TWAWEZA KUSAIDIANA KUJIKWAMUA ????........
   
Loading...