Ujanja wa Mujini.....

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Kuna jamaa alikuwa kiwembe balaa akaamua kuoa, kila wakati akawa anapigiwa simu na videmu vyake mpk wife wake akashtukia akawa anapokea yeye, jamaa kuona kila siku anakuwa na ugomvi na wife akaamua kubadilisha jina la mpenzi wake mmoja wa nje kwenye simu yake aandika "BATTERY LOW" ugomvi uliisha kwani kila simu ikiita inaonyesha BATTERY LOW wife anaiweka kwenye charge!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom