Ujana unatabu kweli kweli !!! Wema sepetu aanza kujidhalilisha upya.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
MWANADADA Wema Sepetu amenza kujidhalilisha kwa kuvaa kinguo kichoonyesha rangi ya mwili wake ambapo picha hizo zimetafsiliwa kuwani ni Nusu Utupu na kuzua Utata jambo ambalo mdada huyo anapaswa kuvaa nguo zenye heshima mbele za watu.
Capturee.JPG

Hapa katika muonenoaka huo kulia akiwa na rafiki yake

Capture.JPG

Hii ndiyo picha iliyozua balaa na kuoneka mdada huyo kutojiheshimu kwa vazi hilo, miongozi mwa vitu ambavyo pande zoto za dini mwanamke hapaswi kuonekana mauongo yake ikiwemo mazima, kitovu na mwili kiujumla mmbel​
 
Kuna nyingine amepiga na le Baharia,le big show tuwekee nayo,sasa amejiaibisha nini?au hamjui marketing strategies ndo maana bidhaa zenu hazitoki
 
MWANADADA Wema Sepetu amenza kujidhalilisha kwa kuvaa kinguo kichoonyesha rangi ya mwili wake ambapo picha hizo zimetafsiliwa kuwani ni Nusu Utupu na kuzua Utata jambo ambalo mdada huyo anapaswa kuvaa nguo zenye heshima mbele za watu.
Capturee.JPG

Hapa katika muonenoaka huo kulia akiwa na rafiki yake

Capture.JPG

Hii ndiyo picha iliyozua balaa na kuoneka mdada huyo kutojiheshimu kwa vazi hilo, miongozi mwa vitu ambavyo pande zoto za dini mwanamke hapaswi kuonekana mauongo yake ikiwemo mazima, kitovu na mwili kiujumla mmbel​

Ujinga na ushamba tu, sasa cha ajabu ni kipi hapo? Unajuwa maana nusu utupu wewe.
 
nyie mnaounga mkono ujinga huu dada zenu wakivaa hivi na kupiga picha za hiv kuweka mitandaoni mtafurahi?
 
MWANADADA Wema Sepetu amenza kujidhalilisha kwa kuvaa kinguo kichoonyesha rangi ya mwili wake ambapo picha hizo zimetafsiliwa kuwani ni Nusu Utupu na kuzua Utata jambo ambalo mdada huyo anapaswa kuvaa nguo zenye heshima mbele za watu.
Capturee.JPG

Hapa katika muonenoaka huo kulia akiwa na rafiki yake

Capture.JPG

Hii ndiyo picha iliyozua balaa na kuoneka mdada huyo kutojiheshimu kwa vazi hilo, miongozi mwa vitu ambavyo pande zoto za dini mwanamke hapaswi kuonekana mauongo yake ikiwemo mazima, kitovu na mwili kiujumla mmbel​

Mimi nilidhani amedhalilisha mtu, kumbe amejidhalilisha mwenyewe?sasa hapo shida iko wapi...ni yeye na maisha yake
 
Muacheni bwana, ni msanii huyu. Hata mie basi tu shape ya mshumaa na sura ya kupuliza moto, ningevaa hivi. Sema basi tu watoto wataota.
 
MWANADADA Wema Sepetu amenza kujidhalilisha kwa kuvaa kinguo kichoonyesha rangi ya mwili wake ambapo picha hizo zimetafsiliwa kuwani ni Nusu Utupu na kuzua Utata jambo ambalo mdada huyo anapaswa kuvaa nguo zenye heshima mbele za watu.
Capturee.JPG

Hapa katika muonenoaka huo kulia akiwa na rafiki yake

Capture.JPG

Hii ndiyo picha iliyozua balaa na kuoneka mdada huyo kutojiheshimu kwa vazi hilo, miongozi mwa vitu ambavyo pande zoto za dini mwanamke hapaswi kuonekana mauongo yake ikiwemo mazima, kitovu na mwili kiujumla mmbel​

Bongo Joto Mkuu!!
 
Mapigo hayo avalie huko huko kwa wabana pua... huku R Chugga atafurahi....hakuna hizo mapigo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom