Ujana dah! Jinsi nilivyomkimbiaga Msichana wa Tinder...

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,958
Ujue sisi tuliosomeaga shule za jinsia moja especialy Seminary tukitokaga kule huwa tunakua na wenge sana, msitujudge

Sasa bwana nulikuaga mwenyej wa tinder kuna kipind...usidharau tinder kuna watu wa maana mule ukiwafaham huwez amin..hadi ma CEO etc

Sasa bwana kuna bint, kwa picha zile anaonekana kadada flan kadogo ka umr.ila kana frog ya hatari. Bas bwana, siku ya miad ikafika
Picha inaanza naenda mfata mbez mida ya ka saa mbili hivi usiku. Mimi lengo langu tukapate dinner tu nimrudishe

Basi kufika pale nampigia ananambia nishafika hapa. Sasa usiku niko kwenye gar namuuliza uko wap.akauliza upo na gar gan..enz hzo nna gx100 black moja ya hatar..akanambia nshakuona.

Hee si anakuja aisee...kwanza ni mfupi mnene kapaka makeup had inamwagika..manywele maref...yaan kiufup kavaa kichangu kabisa...daah nkasema mama yangu

Kaingia kwenye gar hyo perfume yake nilipata mafua palepale...nayeye halaf alikua na mafua..nkasema daah....haijawai tokea hii..

Palepale nkabadil mawazo nkasema ngoja nimdanganye huyu..manaa nilijiuliza hiv huyu naenda nae wap..watu wanione kituko..maana tulipanga twende samak samak

Dah.nkamwambia samahn ngoja nipokee sim ..nkashuka..nikazuga naongea na sim..nkarud nkamwambia dah aisee nmepigiwa simu sasa hiv nna dharura kuu

Akanambia heee..sasa ndo mambo gan hya mi nmeshaaga nyumban sirud leo..daaah yaan kwamba alikuja tukalale na hatujawai onana hata mara 1

Nkasema lahaula...siwez t.mber hii kitu miaka100..nkamwambia sasa tunafanyaje..akasema kikwel sijui.nkamwambia bas nikupe hela na nikulipie lodge ulale kesho urud home kwenu.akasema sawa..ila alilalamika sana

Akat mi namwangalia nasema dah. Ngoma ileee....yaan najiona kabisa naingia shimon.

Basi..nkalipa akaingia room nkampa hela nkamwagizia chakula nkaondoka

Kesho yake akanitumia msg..ila we kaka mstaarab sana..nkasema usijali

Huo ni mkasa ulitokea kama miaka mi5 au 6 hiv iliyopita..

Uzi tayar..(nmeonA nishee)
 
Mimi kuna mmoja niliorder online hivyo hivyo kisha nikatangulia gesti,ile amefika kitu kina sura ngumu kuliko Idd Amini ila chura ilikuwepo.Sura kama ile sijawahi kuiona popote tokea nizaliwe.Nilipiga game ila nilikataa kifo cha mende ili kukwepa ile sura!
 
Mimi kuna mmoja niliorder online hivyo hivyo kisha nikatangulia gesti,ile amefika kitu kina sura ngumu kuliko Idd Amini.Sura kama ile sijawahi kuiona popote tokea nizaliwe.Nilipiga game ila nilikataa kifo cha mende ili kukwepa ile sura!
Hahahah...kwamba uliogopa kifo ya mende ile sura usingeweza vumilia
 
Mimi kuna mmoja niliorder online hivyo hivyo kisha nikatangulia gesti,ile amefika kitu kina sura ngumu kuliko Idd Amini.Sura kama ile sijawahi kuiona popote tokea nizaliwe.Nilipiga game ila nilikataa kifo cha mende ili kukwepa ile sura!
Chura sii ilikuwepo mzee basi inatosha
 
Mimi kuna mmoja niliorder online hivyo hivyo kisha nikatangulia gesti,ile amefika kitu kina sura ngumu kuliko Idd Amini ila chura ilikuwepo.Sura kama ile sijawahi kuiona popote tokea nizaliwe.Nilipiga game ila nilikataa kifo cha mende ili kukwepa ile sura!
....Jamani na sisi tungedisiaga tunayokutana nayo...mnhekuwa wapole...Tatizo matusi mnaporomsha Kama yoote
 
Fala sana wewe.

Back
Top Bottom