Ujambazi wa pikipiki Goba mbele ya Masana Hospital

Bururu

JF-Expert Member
May 21, 2016
877
584
Wana janvi,

Hii imekuwa kawaida sasa maeneo ya jiji, leo mida hii maeneo ya Barabara ya Goba mbele ya Masana Hospital kuna Bekary ya Mikate wamevamiwa na Majambazi mchana kweupe saa 8 au 9 mchana wakawalaza watu chini na kuchukua pesa zote, nje waziwazi bila uoga pia kulikuwa na magari ya soda pia nao wakanyangwanya pesa zote.

TANZANIA HII TUNARUD NYUMA. Pia ichukukuliwe tahadhari ndio ujambazi mpya unaibuka.
 
Sasa kwanini watu wasianze wizi hata shetani mwenyewe atashangaa. Maana huyu mkulu anaona sifa na anasema ukame wa pesa na bado
 
Polisi hata ukiwapigia wawahi na bodaboda hawaji eti hawana mafuta..lakini ya kusindikiza malori ya mkaa wanayo..au mafuta ya kwenda kwa Gwajima wanayo
 
Back
Top Bottom