Ujambazi wa ngombe kwa silaha wazuka upya tarime (watatu wauawa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujambazi wa ngombe kwa silaha wazuka upya tarime (watatu wauawa)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TanzActive, Feb 12, 2010.

 1. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari zilizonifikia hivi leo ni kwamba majambazi yenye silaha yamevamia kijiji cha Magena huko wilayani Tarime na kupora ng'ombe huku wakiua wanakijiji watatu waliokuwa wakijaribu kupambamba nao
   
 2. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2010
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  It is very sad to hear that. However may i know where is this Kibakari TPDF? Could'nt they do something about this?
   
 3. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145


  Nini Maana ya kuuita mkoa wa Kipolice??

  Naomba mwna JF anaye jua Madhumuni na maudhui ya Kuita eneo mkoa wa kipolice au kutawala Kipolice?

  Sasa angalia huo ujambazi wameanza tena, ivi lini ujambazi utapungua nchi hiii Mwanza Arusha Dar Mbeya, Hivi vikosi vya police wao kazi zao wameziga vipi i mean special forces ambazo zina deal na ujambazi kama huu vipo?? na vingine kwa ujambazi wa maduka vipo na vitengo vingine vya upelelezi kuhusu hayo matukio vipo au baada ya wezi kufa na uchunguzi unafia hapo maaana kuua jambazi mmoja au wawili ujue kuwa pia wanakundi ni lazima uchunguzi uendelee tu, ila kwa police wetu navyo jua wataiweka kesi kando ili siku ikijirudia utasikia elekesi ipo bado tulikuwa twaifanyia uchunguzi wakina waaapi.
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,640
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Jamani hizi habari Tarime imekuwa Tarime
   
 5. O

  Omumura JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo huko, mwaka huu!!
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Kamanda Contantine Massawe ametumwa Tarime kupambana na wakulima wa bangi huku akijiandaa kuwasaidia waliomtuma kushinda Ubunge!!
  Suala la majambazi ni gumu sana kwake labda kwa "wazembe' na "wazururaji" hapo mnanaweza kuona jeuri ya police.
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,534
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  hapo october 2010 haijafika....mbona watatumia hata silaha za nyuklia mwaka huu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...