Ujambazi wa kuvamia nyumba washika kasi Arusha.

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,064
10,722
Leo kuna rafiki yangu aishie Arusha amenipigia simu na kunieleza usiku wa kuamkia leo amevamiwa na kundi la majambazi wapatao 15 na wamechukua vitu vingi nyumbani kwake ila cha kushukuru hawakujerui mtu yeyote.

Jamaa ananiambia ilikuwa kama kama saa 8 hivi usiku akasikia kama kishindo fulani aliposhtuka akawai bastola yake kidogo akasikia kwenye chumba alipolala wife ukunga,wife na watoto walikuwa wanalia sana na akasikia sauti ikimuuliza wife mume wako yupo wapi kwani yeye ndo tunamtaka tumuue.
Jamaa kusikia hivyo sababu alikuwa amelala chumba cha pili kumpisha mama sababu ni mzazi wa kama mwezi hivi akapnda darini akatulia,Huku chini wale majambazi wakaendelea kupita vyumbani kumtafuta jamaa walipomkosa mmoja akasema anabahati sana huyu,akatoa amri kwa wale wengine wachukue vitu wapakie kwenye gari walichukua vitu vingi sana. Baada ya mda jamaa akashuka kutoka darini anasema alikuwa anatetemeka mpaka bastola akawa hawezi kuishika kwa woga.

Duh,Jamaa anajiuliza hana kisa na mtu na si mtu wa kutoka nje ya ndoa, kwa nini sasa wale jamaa walikuwa wantaka roho yake?
Ila kweli gate na ukuta wenye electric fence hausadii kitu jambazi akitaka kukuingilia kwani jamaa amejizatiti kweli kwenye securitywise lakini majamaa wakazama ndani.

Unadhani nini tena mtu unaweza fanya kuongeza ulinzi nyumbani hasa wakati wa usiku?
 
Bwana asipo ilinda nyumba wailindao wakesha bure.
Mkabidhini Mungu nyumba zenu nanyi mtakuwa salama.

Haaaaaa Bora huo mguu wa kuku haurudishe tu kwa kova wa arusha maana jamaa ni chicken tu!! Electric fence na cctv camera zinasaidia sana bwana huyo jamaa yako anaonekana ana hela kama ni hvyo hatakiwi kulala kizembezembe wenye hela huwa wanalala saa 11 alfajiri mda wote wapo macho ndio shida ya kuwa na fedha!
 
Usalama wake ahakikishe hajamdhulumu mtu kwa chochote iwe kwenye biashara, kanisani, msikitini au barabarani. Hapo atalala. Kama ana hela nyingi achukue kiasi awape wahitaji! Hao watamlinda kwa kumwaombea kwa mwenye dunia hii.
 
mpe pole sitaki hata kufikiria ni kwa kiasi gani hii kitu itawa affect maishani.

hao ni labda wametumwa na mtu, mwambie ajiangalie na kufikiria nani anaofanya nao biashara je kuna kitu wamejibishana na menzake hakuridhika. je ana matenda anayofuatilia makubwa na labda akitoka yeye wengine watapata. pia ndugu asiachi hilo kuangalia re mali katika familia etc. je ndo kama nilivyosema alishamdhurumu mtu. hao lazima watakuwa wamepewa pesa nono sana.

na pia lazima labda aliewatuma aliwaomba sana wasiue wengine katika familia as wengi hukasirika na kuua yoyote kama warning kwa waliemfuata. so mie sijui nani ila nahisi sana as navyozidi kuandika haya kuwa mtu anayetaka afe anaijua familia vizuri na andeumia roho na kujisikia vibaya kama angetaka mama na watoto wauawe ndo maana wamemtaka yeye tu. hiyo ya kuiba ni basi tu wamechukua vitu kujiburudisha haikuwa katika mpango wao. na walijua lazima angekuwepo home as wengine huvizia nje kuona kama mtu ameingia au katoka.

kilichobaki ni ajiangalie sana na awe makini, na I hope pia labda sio wale wanaojibu watu wanaokutana nao mitaani ovyo ovyo au kutukana bila kuwajua.
 
Pamoja na kuwa bastola ni silaha nzuri ya kujilinda, ulinzi mzuri wa nyumba hasa dhidi ya majambazi wengi ni shotgun. Bunduki hii inatoa risasi nyingi mithili ya gololi ambazo husambaa na kupiga watu wengi kwa mara moja. Hata hivyo haishauriwi uilenge kwa minajili ya kumuokoa mtu wako aliyekamatwa na jambazi maana kuna uwezekano wa kuwajeruhi wote.

FabarmTacNet.jpg

Mossberg.jpg
 
View attachment 71638

View attachment 71637

Da umenikumbushe ile issue ya Nashela na malima
 
Last edited by a moderator:
Bwana asipo ilinda nyumba wailindao wakesha bure.
Mkabidhini Mungu nyumba zenu nanyi mtakuwa salama.

hallelujah....hata ukipaki kifaru uwani....bi bure.....
ila dah....msala huo noma kweli.....sijui itakuwaje.......
 
Leo kuna rafiki yangu aishie Arusha amenipigia simu na kunieleza usiku wa kuamkia leo amevamiwa na kundi la majambazi wapatao 15 na wamechukua vitu vingi nyumbani kwake ila cha kushukuru hawakujerui mtu yeyote.

Jamaa ananiambia ilikuwa kama kama saa 8 hivi usiku akasikia kama kishindo fulani aliposhtuka akawai bastola yake kidogo akasikia kwenye chumba alipolala wife ukunga,wife na watoto walikuwa wanalia sana na akasikia sauti ikimuuliza wife mume wako yupo wapi kwani yeye ndo tunamtaka tumuue.
Jamaa kusikia hivyo sababu alikuwa amelala chumba cha pili kumpisha mama sababu ni mzazi wa kama mwezi hivi akapnda darini akatulia,Huku chini wale majambazi wakaendelea kupita vyumbani kumtafuta jamaa walipomkosa mmoja akasema anabahati sana huyu,akatoa amri kwa wale wengine wachukue vitu wapakie kwenye gari walichukua vitu vingi sana. Baada ya mda jamaa akashuka kutoka darini anasema alikuwa anatetemeka mpaka bastola akawa hawezi kuishika kwa woga.

Duh,Jamaa anajiuliza hana kisa na mtu na si mtu wa kutoka nje ya ndoa, kwa nini sasa wale jamaa walikuwa wantaka roho yake?
Ila kweli gate na ukuta wenye electric fence hausadii kitu jambazi akitaka kukuingilia kwani jamaa amejizatiti kweli kwenye securitywise lakini majamaa wakazama ndani.

Unadhani nini tena mtu unaweza fanya kuongeza ulinzi nyumbani hasa wakati wa usiku?

hii imetokea mtaa gani bobuu.......?
 
Kama hana ugomvi au awatafunii wenzake kwa nini ajizatiti hivyo huyo jamaa yako,ebu kaa naye vizuri akueleze kwa undani maisha yake na jamii inyomzunguka mpaka anako fanya kazi.
 
Huyo rafiki yako anaishi sehemu gani mkuu?kama ni upande wa juu ya barabara moshi/arusha nairobi mwambie ahame fasta,bora ahamie unga ltd,siku hizi huko kuna amani kiasi,wizi wa mapanga,kuchimba nyumba,kabali na aina zote za uhalifu wa kijingajinga siku hizi umehamia mitaa ya daraja mbili na lemara,hasa lemara kwani huko ndiyo maficho makubwa ya wahalifu na starehe nyingi haramu,gongo,bange,ngono zembe nk,ila kwa kifupi naona sehemu kubwa ya arusha imestaarabika nowdays,kasoro lemara,huko sikatizi!ni zaidi ya uwanja wa fisi.
 
Back
Top Bottom