Ujambazi Morogoro: RPC awajibishwe

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Haingii akilini vitendo vya kuvamiwa raia majumbani mwao na majambazi katika mtaa mmoja, kwa siku tano mfululizo, tena karibu sana na makao makuu ya mkoa.

Vitendo vya Ujambazi mjini Morogoro vilikuwa vimepungua sana wakati akiwepo Kamanda Ndengenye, lakini vimeibuka upya na kwa kasi ya ajabu baada tu ya kufika kwa kamishna msaidizi Adolfina kuwa RPC. Si kwa sababu ni mwanamke, but huyu RPC ana udhaifu mkubwa na haiwezi hiyo nafasi.

Zipo taarifa kuwa vingi kati ya hivi vitendo vya ujambazi vinaratibiwa na askari wenyewe.

Sasa naziomba mamlaka husika, zimchukulie hatua haraka sana RPC Adolfina, ateuliwe mtu mwenye uwezo wa kuongoza nafasi hiyo, na vitendo vya ujambazi vidhibitiwe...
 
Wamuru haujamuelewa mtoa mada! hapa polisi wametuhumiwa kupanga njama za wizi. kupanga njama za wizi sio jukumu la polisi, mkuu wao anatakiwa adhibiti hilo.
 
Back
Top Bottom