C call me dougie New Member Oct 2, 2011 3 0 Oct 3, 2011 #1 Hivi tanzania bado tunafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea?
FaizaFoxy Platinum Member Apr 13, 2011 92,881 109,188 Oct 3, 2011 #3 call me dougie said: Hivi tanzania bado tunafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea? Click to expand... Hata alioubuni huo ujinga kisha kufa. Mabaki ndio yanatufanya mpaka leo tushindwe hata kujuwa zuri na baya.
call me dougie said: Hivi tanzania bado tunafuata siasa ya ujamaa na kujitegemea? Click to expand... Hata alioubuni huo ujinga kisha kufa. Mabaki ndio yanatufanya mpaka leo tushindwe hata kujuwa zuri na baya.