Uislamu umetenda haki kwa wanaume na wanawake

Wamakonde wasengerema sana wana jifunza elimu ya dini wana acha elimu dunia unategemea nini usizaraulike? Mimi nafikiri kuna haja ya mashehe kwenda shule maana mambo wanayo wafundisha waumini ni ujinga mtupu, kuna shehe moja alikuwa anasema mkristo kumchumbia mwislam ni haramu kabisa wewe unasemaje kuhusu hilo
Mtoto lazima asome elimu zote haera na dunia,elimu ya haera ni bora kuliko ya dunia cz mafundisho mengi yanamuhasi mwenyezi Mungu mwingi wa rehema.
 
Kuchumbia unamaanisha nn.Ni kweli haruhusiwi mwanaume mkristo/myahudi n.k kutoa mahali wa kuoa binti wa kiislamu...
Pia mwanaume wa kiislamu anayo ruhusa kuoa mwanamke ambaye si mwislamu....uislamu unakemea uchumba cz unashawishi zinaa....
Namaanisha mkristo kuowa mwanamke wa kislam
 
Wamakonde wasengerema sana wana jifunza elimu ya dini wana acha elimu dunia unategemea nini usizaraulike? Mimi nafikiri kuna haja ya mashehe kwenda shule maana mambo wanayo wafundisha waumini ni ujinga mtupu, kuna shehe moja alikuwa anasema mkristo kumchumbia mwislam ni haramu kabisa wewe unasemaje kuhusu hilo
Huu unaofanya ni ubaguzi pia so tambua ubaguzi ni tabia tu
 
Mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wawili kwa sababu haiwezekani akabeba mimba ya wanaume wawili kwa wakati mmoja lakini mwanaume anaweza kuwapa mimba wanawake wawili na bado maisha yakaendelea
Wanaweza kupokezana kumpa mimba kama shida ni hiyo, na je kama Kati ya hao wanaume hakuna aliye na nia ya kuzaa tena, vp inaruhusiwa mwanamke kuolewa na wanaume wawili?
 
Kuchumbia unamaanisha nn.Ni kweli haruhusiwi mwanaume mkristo/myahudi n.k kutoa mahali wa kuoa binti wa kiislamu...
Pia mwanaume wa kiislamu anayo ruhusa kuoa mwanamke ambaye si mwislamu....uislamu unakemea uchumba cz unashawishi zinaa....
Yaani nyie kuoa wanawake wa upande wetu ruksa, ila sisi kuoa wanawake wa upande wenu mnakataa?
Dini ya kipumbavu sana hii, ndio maana dunia nzima hakuna mahali mnapoweza kuishi kwa amani, sio na wakristo, sio na wapagani, sio na wahindu, sio na wachina, hata wenyewe kwa wenyewe mnakorofishana hadi kuuwana
 
Hata kama si muislamu lakini ukilinganisha na dini yangu nayakubali mambo yao 60%/40% ...dini yangu iko chini ya mstari. Mwanamke wa kiislamu anapitia mafundisho mengi sana na anafundwa sana kuhusu Mme na kimsingi ni wasafi sana. wakati kwangu usafi ni kitu personal hawa wenzetu ni jambo la kufundishwa pia, sisemi kwamba hawana mapungufu lakini 60% nawapa ukilinganisha na wa kwetu 40% hasa katika masuala ya ndoa.
Wewe ni wa ajabu sana, kwa kigezo pekee cha usafi na nidhamu ya mwanamke unaona hiyo ndio dini bora, wanawake wa kizungu nao wachafu? Na je nidhamu na usafi wa mwanamke ni sehemu kubwa kias gn katika dini?
 
Nani kakuambia wanawake wa kizungu wasafi?
 
Wanawake ni mashamba yenu , basi yaendeeni mashamba yenu kwa namna muitakayo. ( Al - Baqarah; 2:223) Hapo kuna Haki gani sasa) ?
Katika aya hiyo kuendea mashamba nana mtakavyo ,maana yake ni aina ya mikao ya kujamiiana, stayle ubavu wima na mtindo mwingine, kakini ufanye pale tu palipo ruhusiwa
 
Nataka nijue kwa nini kiongozi wenu ameoa wake 11 na nyie mwisho 4?nipe sababu.

Pia kwa nini kwenu Quran tukufu imeandikwa kuhusu yesu, hadi kufa kwake na kusulubiwa lakini hamtaki kuamini?
Kiongozi wetu aliowa wake 11 ruhusa hii aliipata tu kwake ajili ya kueneza dini tu wakati ule, kwa kupunguza uaduwi na baadhi ya koo na makabila ,
aliowa makabila mbalimbali kuunganisha undugu na kupunguza kasi ya upinzani kutoka kabila na koo mbalimbali,
Namfano mzuri wahilo tazama hapa tanganyika pindi koo za machifu na machifu wenyewe walipo owa wanawake wa makabila mengine kasi ya vita za makabila na kabila hapa tangayika ilikwisha, na ukazalika utani mzaramo na msukuma, muha na muhaya, kwa bahati mbaya vijana wanaoanzia histori ya nchi hii kwa nyerer hawalijuwi hili,

2. Quran tukufu inamtambua Issa mwana wa mariam a.k yesu kama mtume wa mungu alietumwa kwa wana wa isaraeli, wala si kwa ulimwegu wote, na inakanusha kusulubiwa, kwa sababu alietumwa na mungu mkono wa binaadamu hauwezi kumdhuru,
 
Hata kama si muislamu lakini ukilinganisha na dini yangu nayakubali mambo yao 60%/40% ...dini yangu iko chini ya mstari. Mwanamke wa kiislamu anapitia mafundisho mengi sana na anafundwa sana kuhusu Mme na kimsingi ni wasafi sana. wakati kwangu usafi ni kitu personal hawa wenzetu ni jambo la kufundishwa pia, sisemi kwamba hawana mapungufu lakini 60% nawapa ukilinganisha na wa kwetu 40% hasa katika masuala ya ndoa.
Ni kweli ila kwenye ndoa...kuna shida..
mamlaka waliyopewa wanaume wanayatumia vibaya sana!

Mwanamke anaweza tafutiwa sababu ya kupewa talaka hapo keshazaa sana na umri miaka 50...anarudi kwao na nguo tu!

Kuna mengi...
 
Je, mwanamke wa kiislamu anahaki ya kuolewa na mwanamume zaidi ya mmoja? Au
kwann mwanaume amepewa uwezo mkubwa katika maamuzi kuhusu ndoa anaweza kuoa mwanamke zaidi ya mmoja wakati mwanamke hana Uhuru wa kumiliki ama kumilikiwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
Idadi ya wanawake ni kubwa kuliko ya wanaume, hata ukiisoma vizuri Genetics utaelewa.
 
Yaani nyie kuoa wanawake wa upande wetu ruksa, ila sisi kuoa wanawake wa upande wenu mnakataa?
Dini ya kipumbavu sana hii, ndio maana dunia nzima hakuna mahali mnapoweza kuishi kwa amani, sio na wakristo, sio na wapagani, sio na wahindu, sio na wachina, hata wenyewe kwa wenyewe mnakorofishana hadi kuuwana
Hii comment nmecheka sana...
 
Back
Top Bottom