UISILAMU dini huwezi kuitafautisha na siasa kwa sababu ni sehemu ya maisha

Status
Not open for further replies.
dunia ingekuwa sehem nzuri ya kuishi kama wangekuwa hawapo! Dunia yote wao wanaleta tabu tu.
Wanasahau kwamba biblia
imeshasema kwamba
ismael hakupewa na mungu kuwa mfalme bali alipewa isaka. Ishimael aliambiwa atakuwa mwana punda! Leo hii mzungu ni isaka mwarabu!, isaka ni wakristo ishimael ni waislam! Kwa hiyo msipoteze muda.

unasoma biblia ipi wewe ??? Ya ccm au chadema??
 
Dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu.Na siasa ni mfumo uliopo ndani ya dini hivyo ili mtu aitambue siasa yapaswa ashike dini kwanza halafu mengine ndo yanafuata hivyo kwa sisi waislam huwezi kuitenganisha dini na siasa abadan...
 
Mkluu jaribu sana kujibu hoja na sio kupachika vilaka mahala ambapo hakuna tobo. Uturuki wameendelea nini? hivi maendeleo mnayapima kwa uzungu au?..Kwa hiyo Haiti maskini kwa sababu Wakristua japokuwa wamepata Uhuru miaka 200 iliyopita. Au unataka kusema vita ya RDC wameuana watu mil 3 kwa sababu ni wakristu?... jamani hivi kweli mlisoma shule zipi nyie wenzetu hadi mkawa brain washed kiasi hiki.

Swala hapa ni Uislaam na Siasa, jambo ambalo m,adai haya yapo hata kwenye Ukristu na hawapishani ktk kuitazama siasa. Yesu mwenyewe aligombana na utawala wa Kaizali akilitangaza jina la bwana na alipingana na maamuzi yalohalalisha vilivyo haramu ikiwa ni pamoja na kamari. Walimweka msalabani kwa sababi siasa ziliona anaingilia maswala yao na kadhalika.. na wewe unaamini kujitoa mhanga kwa Yesu against wanasiasa kwa ajili ya makosa yetu (protecting your faith). Sasa kigumu kipi hapa kwako wewe?..

Makosa makubwa yanayofanywa na viongozi wetu wa dini ni pale wanaposhindwa kutetea aya za imani ya dini ktk maamuzi ya serikali kuhalalisha. Dini inalenga kuwajenga WATU kiimani ktk UTU wao, na Siasa inalenga maamuzi mazuri ktk kukidhi mahitaji na huduma za watu wake. Hivyo dini inaweza tu kuwa siasa pale UTU wa wananchi wake unapoingiliwa na siasa pia dini zetu hazitakiwi kabisa kungilia maswala ya kisiasa ktk mahitaji na huduma. Ya Kaizali mwachieni Kaizali - Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kwa dini zetu kuingilia ya Kaizali lakini wepesi sana kunyooshea vidole Uislaam unaopinga siasa au serikali kuingilia yale ya kiimani.
Uislaam kama dini inatofautiana sana na SIASA toka malengo hadi mafundisho yake isipokuwa Uislaam utaingilia kulinda pale siasa zinazopoposha UTU wa watu wake.

Mkuu, hivi unajua Turkey ni nchi ya ngapi duniani kwa uchumi mkubwa? Vile vile unajua ni ya ngapi kwa uchumi mkubwa katika bara la Ulaya? Au maendeleo yepi unayoyataka wewe?
 
Ni jambo ambalo haliingii akilini kuwa uislamu hauwezi kutenganishwa na dini eti kwa kisingizio cha uislamu unaongoza maisha ya watu na pia siasa inaongoza maisha ya watu!

Lazima kutofautisha kuwa dini inaongoza watu katika kumwabudu mungu na kutenda mema wakati siasa inamwongoza mtu kupunguza makali ya maisha yanayotokana mapambano ya kumwezesha kuendelea kuishi!

Ili mwanadamu aishi sharti afanye kazi itakayomwezesha kupata chakula, mavazi, malazi na kulinda afya yake. Maisha kwa wanadamu yanategemeana, kwamba mmoja akilima, mwingine atengeneze mavazi na mwingine atengeneze madawa n.k. Hivyo ili haya yote yawezekane binadamu wanahitaji uongozi ambao unawekwa na binadamu wenyewe. Uongozi utakubalika kwa kujieleza kwa binadamu namna gani utasimamia harakati za kuendeleza maisha ya binadamu kwa unafuu zaidi! Na hii ndiyo siasa! Siasa inatengeneza sera, mikakati, kanuni na sheria.

Hivyo kwa kifupi dini inamwandaa binadamu kwa maisha ya akhera kwa Mungu wakati siasa inamwezesha kuishi maisha bora hapa duniani!
 
mashekh wakisema dini na siasa kitu kimoja, mnaona wamekosea na kujifanya mnajua uislamu kuliko wao!! lakini maaskofu wakisema inaonekana kawaida!!, pengo alishawahi kusema kanisa halitenganishwi na siasa, katika uchaguzi uliopita(2010), na katika vuguvugu la Arusha , maaskofu jimbo la Arusha walito tamko la kumpinga meya eti hawamtambui!! KAMA SIO SIASA NI NINI?, wakaungana na chadema.......wewe wa wapi?. MASHEKH WAKO SAHIHI!

huo sio udini cucemea maovu
 
Mkuu, hivi unajua Turkey ni nchi ya ngapi duniani kwa uchumi mkubwa? Vile vile unajua ni ya ngapi kwa uchumi mkubwa katika bara la Ulaya? Au maendeleo yepi unayoyataka wewe?
Kabla hatujaenda mbele Bofya hapa

Turkey:-
[FONT=Arial,Arial][FONT=Arial,Arial]moves up by two places this year to 59th position. The country benefits from its large market (17th), which is characterized by intense local competition (13th). Turkey also benefits from its reasonably developed infrastructure (51st), particularly roads and air transport, although ports and the electricity supply require upgrading. In order to further enhance its competitiveness, Turkey must focus on improving its human resources base through better primary education and healthcare (75th) and higher education and training (74th), increasing the efficiency of its labor market (133rd), and reinforcing the efficiency and transparency of its public institutions (86th). [/FONT][/FONT]
 
Kabla hatujaenda mbele Bofya hapa

Turkey:-
moves up by two places this year to 59th position. The country benefits from its large market (17th), which is characterized by intense local competition (13th). Turkey also benefits from its reasonably developed infrastructure (51st), particularly roads and air transport, although ports and the electricity supply require upgrading. In order to further enhance its competitiveness, Turkey must focus on improving its human resources base through better primary education and healthcare (75th) and higher education and training (74th), increasing the efficiency of its labor market (133rd), and reinforcing the efficiency and transparency of its public institutions (86th).

Najua kama thread hii haikua kuhusu Turkey. Ila ile sentensi "Uturuki wamendelea nini" ilinichoma sana. Kwasababu kama umeidharau Uturuki, wakati hawa jamaa ni moto wa kuotea mbali. Uturuki inakaribia nafasi ya 16 ya kuwa na uchumi tajiri duniani. Matatizo makubwa ya waturuki ni siasa za kijeshi .
Lakini tangu chama cha AKP kuchukua madaraka kimefanya reform katika sehemu mbali mbali ikiwemo kuondoa nguvu ya jeshi katika serikali. Hapo zamani jeshi ndio lilikua na nguvu kuliko serikali. List of countries by GDP (nominal) - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Dunia ingekuwa sehem nzuri ya kuishi kama wangekuwa hawapo! Dunia yote wao wanaleta tabu tu.
Wanasahau kwamba Biblia
imeshasema kwamba
ISMAEL hakupewa na Mungu kuwa mfalme bali alipewa ISAKA. Ishimael aliambiwa atakuwa mwana punda! Leo hii mzungu ni Isaka mwarabu!, Isaka ni wakristo Ishimael ni waislam! Kwa hiyo msipoteze muda.

Very low and very myopic. Where does that put you and many others who are not Isaac and Ismail, and who told you Isaacs are Christians? Do you know that chistians are as useless and musilims to jews? open up!
 
mashekh wakisema dini na siasa kitu kimoja, mnaona wamekosea na kujifanya mnajua uislamu kuliko wao!! lakini maaskofu wakisema inaonekana kawaida!!, pengo alishawahi kusema kanisa halitenganishwi na siasa, katika uchaguzi uliopita(2010), na katika vuguvugu la Arusha , maaskofu jimbo la Arusha walito tamko la kumpinga meya eti hawamtambui!! KAMA SIO SIASA NI NINI?, wakaungana na chadema.......wewe wa wapi?. MASHEKH WAKO SAHIHI!

Nimeipenda saaana mkuu waeleze wasizungumzie UNAFIKI tu.
 
Kwanza siamini kuwa siasa ni udanganyifu. Hiyo tafsiri ni subjective. Pili sikubali kuwa uislam ni utamaduni. Na kama ni utamaduni basi uwe huko uarabuni. Sisi huku tunaamini katika secular state. Hata hivyo urastafari ni utamaduni lakini hauingiliani na maisha ya kawaida ya wananchi husika. Hawa waislam wasilete hizi chokochoko
 
Nimeipenda saaana mkuu waeleze wasizungumzie UNAFIKI tu.

Yesu aliposema ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaisari mpeni Kaisari! Na alilipa kodi kwa kaisari! na kukemea mapungufu ya Kaisari! na alisema wazi kwamba Ufalme wangu si wa Duniani! Hivyo basi M'Mungu alizipa majukumu serkali za kidunia ili zihudumie wanadamu! kama Uislamu utawala wenu ni kidunia basi kusanye kodi mtujengee barabara, shule, mahospitali, nk! Kihivyo naunga mkoni, vinginevyo ni bla bla tu!
 
mashekh wakisema dini na siasa kitu kimoja, mnaona wamekosea na kujifanya mnajua uislamu kuliko wao!! Lakini maaskofu wakisema inaonekana kawaida!!, pengo alishawahi kusema kanisa halitenganishwi na siasa, katika uchaguzi uliopita(2010), na katika vuguvugu la arusha , maaskofu jimbo la arusha walito tamko la kumpinga meya eti hawamtambui!! Kama sio siasa ni nini?, wakaungana na chadema.......wewe wa wapi?. Mashekh wako sahihi!

waambie hao au nyani haoni lake?km siasa wao ndo wanaongoza waloacha upadri na kujiingiza ktk siasa hawalioni ilo?
 
Mkluu jaribu sana kujibu hoja na sio kupachika vilaka mahala ambapo hakuna tobo. Uturuki wameendelea nini? hivi maendeleo mnayapima kwa uzungu au?..Kwa hiyo Haiti maskini kwa sababu Wakristua japokuwa wamepata Uhuru miaka 200 iliyopita. Au unataka kusema vita ya RDC wameuana watu mil 3 kwa sababu ni wakristu?... jamani hivi kweli mlisoma shule zipi nyie wenzetu hadi mkawa brain washed kiasi hiki...


well spoken
 
Politics (from Greek politikos "of, for, or relating to citizens") as a term is generally applied to the art or science of running governmental or state affairs, including behavior within civil governments, but also applies to institutions, fields, and special
interest groups such as the corporate, academic, and religious segments of society. It consists of "social relations involving authority or power" and to the methods and tactics used to formulate and apply policy. Hiyo nimeipata from wikipedia. Kwaiyo mliokuwa wavivu wa kutafuta nimewaletea. Katika description dini imo.
Kwaiyo mleta mada labda utwambie definition yako uloleta umeitoa wapi? Je wewe ni professor?
 
Mkuu, hivi unajua Turkey ni nchi ya ngapi duniani kwa uchumi mkubwa? Vile vile unajua ni ya ngapi kwa uchumi mkubwa katika bara la Ulaya? Au maendeleo yepi unayoyataka wewe?

Mkuu kwani waturuki ni waarabu? Basi na wagiriki ni waarabu pia au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom