Uingizaji wa bidhaa feki zenye ubora hafifu toka China, TBS hawalioni hili?

Kwahiyo TBS ni incompetent na wanakula mishahara ya bure? Hicho ndichocunachotaka kusema? Au wewe ni mmoja wa vilaza incompetent mlioajiriwa hapo kwa kujuana na huna ujuzi wala taaluma yeyote katika kazi husika? Yaani TBS hadi karne hii ya 21 washindwe kuwa na standard za ubora wa vifaa vya umeme lets say 'Circuit breakers' ambazo kama zikiwa substandard huwa zinaweza kusababisha motovpale shoti ya umeme inapotokea?! Kwi TBS wasiwe na ujuzi wa kujua kama 'Circuit breakers' hizi ni up to standard na hizi ni substandard? Kwahiyo hakuna haja ya kuwa na TBS basi maana ni wanakula mishahara ya bure tu, watu waingize bidhaa substandard halafu mkiulizwa mseme hamna utaalam wa kupima ubora wa vifaa vya umeme? Sasa si mpeleke watu wenu nje wakaongeze ujuzi, mnakubalije kupitwa na teknlojia? Incompentence at a heinous level! Angalieni kile kipindi cha Mega Airport Dubai muone jinsi watu wa airport (sio TBS) wanvyokamata counterfeit electronics na kuziteketeza kila siku, nendeni hata huko mkatafute ujuzi, haiwezekani watu mnakula mishahara ya bure kwa kazi ambazo hamna hata utaalam nazo, sasa kazi yenu ni nini?
Ukiajiriwa unafanya kinachowezekana, visivyowezekana hufanyi. Kwa mtizamo wako unadhani bidhaa gani Tanzania ni the highest quality na kwanini unadhani hivyo?!
Kuna vitu kutokana na manufactures specifications vina highest quality, lakini customers wanaweza kuwa na views tofauti kutokana na previous experience ya vitu kama hivyo.
Kiatu kinaweza kikawa na mtizamo tofauti wa ubora kulingana na mteja mtumiaji, wapo wanaotaka kusichakae hata kama anakitembelea kila siku, na wapo wanao vaa viatu pair tofauti Kila siku. Na wapo wanao vaa na anaingia kwenye gari, yani kiatu hakichakai Ukiwauliza hawa watu kila mmoja atakupa experience tofauti na ubora watakupa tofauti.
Wewe ndio wale mnataka TV ipondwe mawe isipovunjika ndiyo bora.
TV hata huigusi inatumia remote kuwashwa na kuzima lakini zinatoa picha quality tofauti sasa kwako ipi ina quality bora au unasemaje hii ni bora kuliko ile?!
Au unadhani TBS wanapeleka specification zao za bidhaa viwandani?!
Wewe kwako ubora ni nini, ni muda mrefu kitu kina tumika au ugumu wa kitu au ni uzito wa kitu au wingi wa vitu.?!
 
Lakini fake kwa standard gani, wewe unajuaje ni fake, kule kilipotoka kiwandani kimepitishwa kwenye quality control yao, na wakajiridhisha kwamba kinafaa.
Labda sisi tunao vifahamu kuwa havifai tuvisusie tu. Kwa kufanya hivyo waagizaji hawata vileta tena, maana soko halitakuwepo.
Mkuu kuna counterfeit, substandard products.
Uingiaji wake una depend na interests
Kuna vinavyopita njia za panya na vingine 10%
Kwan hata ww huoni fake product kila cku TBS wanapambana nazo
Kuna vitu ata kwa macho intended matumiz na outcome yake n inversely.BT kinachosababisha ni kuto afford quality product depending on its price
"Mkuu niliwah nunua heater kuchemshia maj at once ikapata kutu" sasa vitu kama hvi n bora visiiingie tu ili tubak na quality despite of price au tufanye tu porosity of borders (japo hii tutalishwa mpka takataka)
 
Kuna haja kubwa sana kwa TBS na Fair competition kusaidia hili.. Tumekuwa tunakubali bidhaa feki sana kuingia Soko la Tanzania. Hakuna bidhaa ambayo haijawa counterfeited na mataifa ya Asia hasa China na India.. Mamlaka husika zimekaa kubung'aa tu ila ukienda Kriakoo, hakuna viatu, vifaa vya umeme, hakuna nguo, hakuna viatu, hakuna vitenge, elecronics wala vyakula vy kuamini. Haya yana athari kubwa sana kiafya na kimazingira. Mfano nguo unavaa mwezi mmoja imeshachakaa then unadump. Pia vitu ni plistics na disposable hukai nacho mwezi hasa vya akina mama na watoto kaba ya kumomonyoka. Wahusika wajitathmi maana haikuzoeleka sana kipindi cha Mkapa. Mamlaka wajibikeni ondoeni bidhaa hizi ama kuzifungia ili kukuza soko la ndani kwa wenye kuzalisha bidhaa genuine.
Matokea ya huu upuuzi ni kuua viwanda vya ndani ambavyo vingi havina jeuri ya kuzalisha bidhaa feki kama waChina, matokea yake huwa vinakufa na ajira zote tunahamishia China, yote hii eti utetezi wake ni kwamba TBS haina utaalam wa kujua ubora wa vitu wasivyovitengeneza, as if kazi ya TBS ni kutengeneza bidhaa.., this is ridiculous!
 
Lakini fake kwa standard gani, wewe unajuaje ni fake, kule kilipotoka kiwandani kimepitishwa kwenye quality control yao, na wakajiridhisha kwamba kinafaa.
Labda sisi tunao vifahamu kuwa havifai tuvisusie tu. Kwa kufanya hivyo waagizaji hawata vileta tena, maana soko halitakuwepo.
Hivi mbona mnajitia wazimu nyie?, sasa kama tunawaamini hao waChina wanaovitengeneza ni kwanini tunatumia mabilioni kuiendesha TBS, hilo jukumu tuwaachie basi hao watengenezaji ambao lengo lao ni kutengeneza maximum profit eti wawe wanamaintain ubora stahiki bila sisi ku-counter check wanachoingiza nchini, hivi kweli mimi leo nizalishe bidhaa halafu nikwambie haina ubora??! Si nitakuwa nimerogwa??, ndio maana kia nchini inatumia bilions kuendesha taasisi yake ya kupima ubora wa bidhaa zinazoingizwa nchini mwao!
 
Kazi kama kumkumbusha mteja akae chonjo, aombe 'guarantee' kila anunuapo bidhaa ili kuepuka usumbufu wa kutapeli kizembe!
Yaani mimi nilipe kodi ambayo inatumika kuwalipa mapoyoyo hapo TBS halafu bado mimi tena nianze kufanya kazi ya TBS ambao wao wanalipwa mshahara kwa kazi hiyo? Ni kama TFDA waruhusu dawa feki za malaria halafu uniambie mimi mgonjwa nikae chonjo nisitapeliwe??! Hivi huwa mnawaza kabla ya kuropoka?!mimi nina vifaa vya kupima dawa feki na original ya malaria?!, au niombe garantii ya dawa ya malaria, are you insane?!
 
Ukiajiriwa unafanya kinachowezekana, visivyowezekana hufanyi. Kwa mtizamo wako unadhani bidhaa gani Tanzania ni the highest quality na kwanini unadhani hivyo?!
Kuna vitu kutokana na manufactures specifications vina highest quality, lakini customers wanaweza kuwa na views tofauti kutokana na previous experience ya vitu kama hivyo.
Kiatu kinaweza kikawa na mtizamo tofauti wa ubora kulingana na mteja mtumiaji, wapo wanaotaka kusichakae hata kama anakitembelea kila siku, na wapo wanao vaa viatu pair tofauti Kila siku. Na wapo wanao vaa na anaingia kwenye gari, yani kiatu hakichakai Ukiwauliza hawa watu kila mmoja atakupa experience tofauti na ubora watakupa tofauti.
Wewe ndio wale mnataka TV ipondwe mawe isipovunjika ndiyo bora.
TV hata huigusi inatumia remote kuwashwa na kuzima lakini zinatoa picha quality tofauti sasa kwako ipi ina quality bora au unasemaje hii ni bora kuliko ile?!
Au unadhani TBS wanapeleka specification zao za bidhaa viwandani?!
Wewe kwako ubora ni nini, ni muda mrefu kitu kina tumika au ugumu wa kitu au ni uzito wa kitu au wingi wa vitu.?!
Ndugu yangu, ni kazi ya TBS kutengeneza standards, hiyo ni kazi yao na wanalipwa mishahara, ukianza kuniuliza mimi wakati wao ni wataalam na wamesomea taaluma yao mimi nitakushangaa sana. Mimi niulize kuhusu standars na specifications za ujenzi nitakujibu vizuri sana, mfano ukaniuliza tensile strength ya nondo ya specification falni au grade flani nitakuambia, na hata hao TBS wanavitengo vinavyothibitisha ubora wa nondo, hivi sio vitu vya kubahatisha au kukisia kama wewe unavyotaka kuifanya ionekane, kila bidhaa ina standardised criteria ya ubora na si utashi wa mzalishaji au mtumiaji, narudia, hiyo ni kazi yao na wanalipwa mshahara kwa ajili hiyo, kutunga standard na kuzisimamia; na katika kutunga standards wana miiko yao wao, wanajua nini cha kufanya , maana wanalipwa na hawafanyi kama hisani, sasa tusitetee incompetence kwa kutafuta huruma zi kishenzishenzi hapa, wafanye kazi wanayolipiwa mshahara au piga chini wote!
 
Good manufacturing practice (GMP), kwa kufuata standard operating procedure (SOP), a quality test unit should be separate and independently from manufacturing unit.
Asitake kutuaminisha kwamba quality test ziishie viwandan et kisa wataalam wa TBS hawana ujuz wa baadh ya vitu
TBS wapo kwaajil ya hii kaz, tuonapo bidhaa fek niwao inatakiwa wawajibike directly au indirectly
 
Yaani ana utetezi wa ajabu huyu jamaa hadi naona aibu mimi, yaani utumbo anaandika yeye lakini mimi ndio anaibu.., acha tu.
 
Yaani wewe kama sio muuzaji wa vitu feki basi utakuwa mfanyakaz wa Tbs unaekula 10% za wauza bidhaa magumash...
Ukiajiriwa unafanya kinachowezekana, visivyowezekana hufanyi. Kwa mtizamo wako unadhani bidhaa gani Tanzania ni the highest quality na kwanini unadhani hivyo?!
Kuna vitu kutokana na manufactures specifications vina highest quality, lakini customers wanaweza kuwa na views tofauti kutokana na previous experience ya vitu kama hivyo.
Kiatu kinaweza kikawa na mtizamo tofauti wa ubora kulingana na mteja mtumiaji, wapo wanaotaka kusichakae hata kama anakitembelea kila siku, na wapo wanao vaa viatu pair tofauti Kila siku. Na wapo wanao vaa na anaingia kwenye gari, yani kiatu hakichakai Ukiwauliza hawa watu kila mmoja atakupa experience tofauti na ubora watakupa tofauti.
Wewe ndio wale mnataka TV ipondwe mawe isipovunjika ndiyo bora.
TV hata huigusi inatumia remote kuwashwa na kuzima lakini zinatoa picha quality tofauti sasa kwako ipi ina quality bora au unasemaje hii ni bora kuliko ile?!
Au unadhani TBS wanapeleka specification zao za bidhaa viwandani?!
Wewe kwako ubora ni nini, ni muda mrefu kitu kina tumika au ugumu wa kitu au ni uzito wa kitu au wingi wa vitu.?!
 
Kwahiyo TBS ni incompetent na wanakula mishahara ya bure? Hicho ndichocunachotaka kusema? Au wewe ni mmoja wa vilaza incompetent mlioajiriwa hapo kwa kujuana na huna ujuzi wala taaluma yeyote katika kazi husika? Yaani TBS hadi karne hii ya 21 washindwe kuwa na standard za ubora wa vifaa vya umeme lets say 'Circuit breakers' ambazo kama zikiwa substandard huwa zinaweza kusababisha motovpale shoti ya umeme inapotokea?! Kwi TBS wasiwe na ujuzi wa kujua kama 'Circuit breakers' hizi ni up to standard na hizi ni substandard? Kwahiyo hakuna haja ya kuwa na TBS basi maana ni wanakula mishahara ya bure tu, watu waingize bidhaa substandard halafu mkiulizwa mseme hamna utaalam wa kupima ubora wa vifaa vya umeme? Sasa si mpeleke watu wenu nje wakaongeze ujuzi, mnakubalije kupitwa na teknlojia? Incompentence at a heinous level! Angalieni kile kipindi cha Mega Airport Dubai muone jinsi watu wa airport (sio TBS) wanvyokamata counterfeit electronics na kuziteketeza kila siku, nendeni hata huko mkatafute ujuzi, haiwezekani watu mnakula mishahara ya bure kwa kazi ambazo hamna hata utaalam nazo, sasa kazi yenu ni nini?
wewe NDO HUJAMUELEWA
 
Kwa huu udhaifu wa TBS tusahau kuhusu Tanzania ya viwanda, maana vyote vinadhoofika na kufa kabisa, tuna- export ajira zote hata za viatu tu kwenda China, sasa sijui tutakua taifa la aina gani sisi..., ikiwa kila mtu yuko free kuingiza takataka za kila aina bila repercussions of any sort.., yaan sijui..
 
Update: 24/08/2019
ITV wanazungumzia bidhaa feki na substandard pamoja na jukuma la TBS na FCC kwenye kumekucha ITV
 
Mkuu FRANCIS DA DON tbs wako huku wanapambanahttps://www.youtube.com/watch?v=mP3Cl4_OM9o&feature=youtu.be nenda pia kwenye ukurasa wao wa insta tbs_viwango ndo utajua tuna safari ndefu kufikia vawango na ubora mlinzi kama huyu ukimweka kwako akulindie mali unaibiwa kila kitu
 
Attachments

  • 1575103084705.png
    1575103084705.png
    85.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom