Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Wakiamua kubaki kwao wasije kutalii kwetu, Chato Airport na ATCL na madege yake nani atasafiria kwenda Burigi kuangalia swala?Mbona kawaida wasije wabaki kwao maamuzi ni yao
Wakiamua kubaki kwao wasije kutalii kwetu, Chato Airport na ATCL na madege yake nani atasafiria kwenda Burigi kuangalia swala?Mbona kawaida wasije wabaki kwao maamuzi ni yao
Duh Mondi na Steve hata mita 500 hawakufikisha.Ndiyo maana tumeamua kufanya 'utalii wa ndani' wenyewe kwa kuanzia tunakwea Kilimanjaro 😁!.
Wakiamua kubaki kwao wasije kutalii kwetu, Chato Airport na ATCL na madege yake nani atasafiria kwenda Burigi kuangalia swala?
hahahaha, umenikumbusha huyo Stephano Nyerere na Diamond walivyo rudia katikati. Mlima hauna kiki ule, ukifanya mchezo unapoteza maisha.Ndiyo maana tumeamua kufanya 'utalii wa ndani' wenyewe kwa kuanzia tunakwea Kilimanjaro 😁!.
Nahisi hapo kwenye kuachwa wapime wenyewe, ndio sintofahamu, ukizingatia hawa wazungu hawa sio wa kuwaamini kwa asilimia mia.Sawa kama ipo mbona ni hatari wangeacha wakapima tu ili kama ipo izuiwe haraka
Wewe bint nikufahamishe huyo dr aliekufa Kwa ebola ni binamu yangu kabisa na hatukuruhusiwa kuweka matanga na dada zake wametoka juziKama. IPO mbona hatuambukizani ili vifo viwe shuhuda?
Hawa wanampango wa kuleta vi ebora chini ya uchunguzi.
Fukuzeni kabisa
Mwandishi gani unaogopa kusimamia upande mmoja?Hivi majuzi, ubalozi wa USA ulitoa tahadhari kuhusu kuwepo kwa maambukizi ya ugonjwa wa Ebola nchini. Na ikasemekana kuwa kuna mwanamke mmoja alifariki kwa ugonjwa wa Ebola.
Leo tena, Uingereza na wao wametoa tahadhari kwa raia wao wanaotaka kuja Tanzania kwa kuwaambia kuwa kuna tishio la Ebola hapa nchini.
Hili swala kwa upande wangu naliangalia kwa namna mbili.
•Kipropaganda
Marekani na Uingereza ni washirika wa karibu sana, huenda kuna propaganda wanataka kueneza hapa nchini, au wanataka kuuleta huu ugonjwa hapa nchini, then baadae tutaenda kuwaomba msaada wa fedha za kupambana nao, hapo na wao ndio watakuja na terms zao kwamba ili watusaidie lazima na sisi tuwape rasilimali zetu. Nadhani wanalenga zaidi RASILIMALI zetu.
Kwanini huu ugonjwa hauwapati wazungu?
Kwanini Africa tu.
Hoja nyingine ni hii,
•Huenda ugonjwa upo kweli, ila serikali inaficha.
Kumbuka Marekani na Uingereza ni moja ya nchi zenye intelligence ya hali ya juu sana, so wakati mwingine wanapotoa tahadhari kama hizi huwa hawakurupuki, inawezekana ikawa huu ugonjwa upo mamlaka zetu zinapuuzia au zinajua ila zinaficha ukweli.
Ni vyema kama upo tujue, ili sisi raia tuanze kuchukua tahadhari mapema.
Mwandishi gani unaogopa kusimamia upande mmoja?
Wewe bint nikufahamishe huyo dr aliekufa Kwa ebola ni binamu yangu kabisa na hatukuruhusiwa kuweka matanga na dada zake wametoka juzi
Ebola ni issue za wacongo kula nyama za nyani ( baboons) ndio zinazoleta EBOV
Sasa wacongo wameanza kula hizo nyama since history .. swali lingeweza kuwa kwanini sasa...
Wazungu hawana mpango na rasilimali zako tayari wanazichukua kwenye Internet bundles....
BTW. .. najiuliza kwanini hatutibu primary source tunapambana watu wasi safir pekee
Propaganda ili wapate nini?Kipropaganda
Fedha wanazoingiza hao watu wote 118 huwezi kuwalinganisha na beberu wawili tu wanaokuja kupanda mlima kisha wanalala zao Moshi then wanasepa zao singita grunet(wanalalala room ya $3000 per night/per room)