Uingereza Yathibitisha Meli Yake Ilitaka Kutekwa Na Iran Huko Ghuba!

Iran anazidi tafutiwa sababu tu ? Kule katungua Drone ,huku anataka kuteka meli

Ngoja tusikie na Wafaransa watakuja na lipi

Baada ya hapo utatu unakuwa umekamilika
 
Back
Top Bottom