Uingereza yakosolewa mpango wa kuhamishia wakimbizi Rwanda

Kwani wakimbizi ni wanasayansi.
Uliza wewe. Yaani mtu kamkimbia Libya, Ghana, Nigeria, Syria, Afghanistan, Ukraine anakuja kutupwa hapo Rwanda!
Beberu kweli akili kubwa!
Njoo na excuse zako, itapelekewa hifadhi Rwanda!
Wale wakimbizi wa uongo, hatuji tena huko!
 
Kagame anafanya biashara, yeye analipwa kwa kichwa na wakifika Rwanda wataona mazingira magumu then wanarudi kwao. DEAL DONE.
 
Kagame anafanya biashara, yeye analipwa kwa kichwa na wakifika Rwanda wataona mazingira magumu then wanarudi kwao. DEAL DONE.
Yaani mtu akimbie Libya. Syria, Palestine, Congo, Somalia, aje apumzishe Rwanda, Kivu ya mashariki huko!😄😅😂 Boris ni beberu mkubwa for real!
 
Rwanda inataka kutanua nchi na huyu jamaa msipo shtuka mtaniambia
Hata mimi naona anaelekea huko.Majirani na Rwanda wawe macho na huyu mshenzi.Ameachana na mkoloni Mfaransa na sasa atapewa nguvu kubwa awe kibaraka wa Uiengereza kuleta chokochoko katika ya Afrika.
 
Kagame anafanya biashara, yeye analipwa kwa kichwa na wakifika Rwanda wataona mazingira magumu then wanarudi kwao. DEAL DONE.
Kwani mkataba unasemaje.Wakifika awafungie wasitoke au umeacha mwanya Kagame anaweeza kuwaachia waende wanakotaka.
 
Ni kweli hawa wazungu wana nia mbaya na hizi nchi zetu, in fact Uingereza wanataka kuanziasha holding ground for screening purpose, those who are fugitives remains in Africa, the same the did in Australia and New Zealand back in 18th century..

Na tamaa ya pesa kwa viongozi wa nchi zetu hilo nalo linachangia.

Sincerely PK is of a subtle character.

Rwanda has a high population density and already land is not sufficient for Rwandese, furthermore it has a lot of land conflicts and competition for the natural resources.

Taking on migrants from UK will increase the land burden and survival challenges for the limited natural resources available.

Na hata hivyo Rwanda yenyewe inazalisha wakimbizi kila uchao.
These include Rwandans people who sought political and economic asylum in other countries.

Kwa muktadha huu sidhani kama Rwanda ina uhakika wa long term security guarantee kwenye hizi nchi za maziwa makuu.

Else PK does not show his true color.
 
Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu.

Uingereza imeingia makubaliano na Rwanda kuhusu maamuzi hayo ambapo safari hiyo ya kilometa 6,000km itawahusu wote wanaoingia Uingereza kinyume cha sheria

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson yeyote ambaye aliingia nchini humo kinyume cha sheria kuanzia Januari mwaka huu anaweza kujumuisha katika safari hiyo.

Makundi ya Haki za Binadamu na Taasisi za wakimbizi wameita maambuzi hayo kuwa ni katili na siyo ubinadamu na ni kama ukoloni mambo leo.

“Inashangaza na sio ubinadamu,” anasema Steve Valdez-Symonds, Mkurugenzi wa Kambi ya Wakimbizi ya Amnesty International UK, anaongeza:

“Mpango huo hautapunguza idadi ya wakimbizi. Itasababisha kiasi kikubwa cha ukatili na kuchochea njia hatari zaidi za wakimbizi kuanzishwa.

Source: Aljazeera
Sis haituhusu! we don't care wataweza kukaa Rwanda au la,what we need is that €1.5billion . akitulia akatengeneza maisha that's good! akishindwa ataomba kwenda sehem nyingine,what we will do for them na ndivyo mkatama unasema ni:wapate mlo mala 3 kwa siku,waruhusiwe kupata kazi,matibabu,yani wapate kile raia anacho pata. kurudi UK au wapi sijui! ata apply kama kawaida. alfu kingine UK wata provide kuwatunza yani watapata full support kutoka UK.

Deal done!!
 
Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu.

Uingereza imeingia makubaliano na Rwanda kuhusu maamuzi hayo ambapo safari hiyo ya kilometa 6,000km itawahusu wote wanaoingia Uingereza kinyume cha sheria

Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson yeyote ambaye aliingia nchini humo kinyume cha sheria kuanzia Januari mwaka huu anaweza kujumuisha katika safari hiyo.

Makundi ya Haki za Binadamu na Taasisi za wakimbizi wameita maambuzi hayo kuwa ni katili na siyo ubinadamu na ni kama ukoloni mambo leo.

“Inashangaza na sio ubinadamu,” anasema Steve Valdez-Symonds, Mkurugenzi wa Kambi ya Wakimbizi ya Amnesty International UK, anaongeza:

“Mpango huo hautapunguza idadi ya wakimbizi. Itasababisha kiasi kikubwa cha ukatili na kuchochea njia hatari zaidi za wakimbizi kuanzishwa.

Source: Aljazeera

Paul Kagame, the president of Rwanda, has suggested the UK extradite suspects wanted in the east African country for alleged roles in the 1994 genocide, after a controversial deal with the Home Office to process asylum seekers there.
Speaking less than two weeks after the deal was announced, Kagame told an audience of diplomats in Kigali that included the British high commissioner, he hoped “that when the UK is sending us these migrants, they should send us some people they have accommodated for over 15 years who committed crimes [in Rwanda]”.

“We sent case files [to the UK] and … investigated. These are clear case files. Instead of being accommodated there in that beautiful place of [the] UK, they should be in jail, either in the UK or here,” Kagame said.
The presence in the UK of five men alleged to have played an active and important role in the killing of more than 800,000 ethnic Tutsis and some moderate Hutus over three months in Rwanda in 1994 has been an irritant in relations with Kigali for many years.
British judges have blocked extradition on the grounds the suspects would not receive a fair trial in Rwanda. Officials in Kigali have called for a trial in the UK instead.
All five, aged between 61 and 69, came to the UK in the immediate aftermath of the genocide where they applied for asylum. They deny the allegations against them.
 
Back
Top Bottom