Uingereza;kwa hili la mtanzania nchi yenu hakuna freedom of speech.

Freedom of speech ina kikomo chake, kwahio sio kuropoka tu au kufanya vitu hadi unapitiliza.hio ni UK sio bongo na ukifanya ajizi unadukuliwa tu refer: Robin Cook na Dr Kelly , sasa hapo ndio utawaelewa wazungu.
 
1. Kila nchi ina sheria na kanuni zake Mkuu., Nchi yeyote kua na freedom unayoiongelea ya 100% haiwezekani....!!

2. Alafu Uingereza bado wana element za Kifalme na Kimalkia so usitegemee uhuru huo unaouzungumzia usiifananishe kama marekani na nyinginezo...!!

3. Si jambo la kiugwana tukiwa wakweli bila unafiki., kupiga picha maiti zilizoharibika alafu kuziweka hadharani in social media ingawa wengi tunafanya hivyo..!!
Mkuu hivi ingetokea kitu kama hicho Tanzania unazani wangetusema sana hawa wanafiki
 
Mkuu ni yule uliyefungwa kwa kupost sura za waliofariki kwenye ajali ya moto wa ghorofa lile? Au kuna mwingine.

Kama ni huyo alipaswa kufungwa hata miaka 10 jela, hebu fikiria kama ndio ndugu yako amefariki kwenye ajali halafu jitu lisilojitambua linapiga picha marehemu na kupost Facebook utadhani aliyekufa ni mbwa
Lakini hakuwa na dhamira mbaya alitaka ndugu wa marehemu watambue miili ya ndugu zao.Vipi mbona Tanzania tunapost sana picha za namna hiyo lakini serikali ipo kimya je serikali yetu haikeleki na jambo hili?
 
Utanzania wako usikufanye uvunje sheria ,mtoa uzi je unaona nivyema kuweka picha ya maiti ni vyema acha afungwe tu
 
UK kuna freedom of speech kama US tu.
Mkuu we unadhani jambo hilo lingetokea Katika nchi zetu alafu serikali ikachukuwa hatua kama hizo unazani wasomi/wanasheria wetu wasingekuja kifua mbele na kuishtumu serikali
 
Mkuu we unadhani jambo hilo lingetokea Katika nchi zetu alafu serikali ikachukuwa hatua kama hizo unazani wasomi/wanasheria wetu wasingekuja kifua mbele na kuishtumu serikali
Hata lingetokea katika hizo nchi unazoita zetu, bado naamini asingepata wa kumtetea. Mpaka sasa sijaona anayemtetea humu JF.
 
Mkuu we unadhani jambo hilo lingetokea Katika nchi zetu alafu serikali ikachukuwa hatua kama hizo unazani wasomi/wanasheria wetu wasingekuja kifua mbele na kuishtumu serikali
Wangekuja kutafuta umaarufu kama kawaida. Na hii ingetokea Tz hata humu JF wengi tu wangeshutumu mahakama.
 
Wangekuja kutafuta umaarufu kama kawaida. Na hii ingetokea Tz hata humu JF wengi tu wangeshutumu mahakama.
Mkuu ndicho nilichojaribu kufikisha kwa watu,yaani jambo hili wangefanya askari wetu na mahakama zetu basi wasomi hewa wangelivalia njuga hili lakini kwa kuwa limefanywa na serikali ya malkia kila mtu anamkosoa mtanzania mwenzetu.Hii ni double standard aseeh
 
Hao watafuta kiki tu. Kuna mtu alichapwa Znz kisa amekula mwezi mtukufu. Huo ni uvunjaji wa sheria lakini hao watetezi wa haki za binadamu wamekaa kimya.
 
Hao watafuta kiki tu. Kuna mtu alichapwa Znz kisa amekula mwezi mtukufu. Huo ni uvunjaji wa sheria lakini hao watetezi wa haki za binadamu wamekaa kimya.
Ndicho kitu kinachoshangaza yaani wasomi wetu Wanapenda kutafuta cheap popularity sana
 
Imenikimbusha maiti za wale jamaa wa tafiti, Dodoma, na zile maiti za ajali ya wanafunzi Arusha
 
Back
Top Bottom