Uingereza;kwa hili la mtanzania nchi yenu hakuna freedom of speech.

forumyangu

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,147
2,000
Wakuu habari zenu.Nadhani wengi wetu tumeona kwa jinsi Mtanzania mwenzetu alichofanyiwa na askari wa nchini Uingereza.Ni kitendo kisicho vumilika hasa kwa nchi inayodai kuwa Kuna freedom of speech/uhuru wa kujieleza.Hauwezi kumzuia mtu kutoa mawazo yake huo si uhuru wa habari.kwa kitendo hiki na sambamba na hiki tunapaswa kukemea serikali ya Uingereza kwa kuwanyima Wananchi uhuru wao mbona wanashindwa na nchi za ulimwengu wa tatu.
Nawasilisha kwenu kwa mawazo yenu
 
SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
1. Kila nchi ina sheria na kanuni zake Mkuu., Nchi yeyote kua na freedom unayoiongelea ya 100% haiwezekani....!!

2. Alafu Uingereza bado wana element za Kifalme na Kimalkia so usitegemee uhuru huo unaouzungumzia usiifananishe kama marekani na nyinginezo...!!

3. Si jambo la kiugwana tukiwa wakweli bila unafiki., kupiga picha maiti zilizoharibika alafu kuziweka hadharani in social media ingawa wengi tunafanya hivyo..!!
 
Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,572
2,000
Wakuu habari zenu.Nadhani wengi wetu tumeona kwa jinsi Mtanzania mwenzetu alichofanyiwa na askari wa nchini Uingereza.Ni kitendo kisicho vumilika hasa kwa nchi inayodai kuwa Kuna freedom of speech/uhuru wa kujieleza.Hauwezi kumzuia mtu kutoa mawazo yake huo si uhuru wa habari.kwa kitendo hiki na sambamba na hiki tunapaswa kukemea serikali ya Uingereza kwa kuwanyima Wananchi uhuru wao mbona wanashindwa na nchi za ulimwengu wa tatu.
Nawasilisha kwenu kwa mawazo yenu

Ni ujinga kupost maiti kwenye mitandao ya kijamii. Suala la msiba linachiwa familia ya mhusika na sio kila mtu anajidai PR wa familia.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,932
2,000
Wakuu habari zenu.Nadhani wengi wetu tumeona kwa jinsi Mtanzania mwenzetu alichofanyiwa na askari wa nchini Uingereza.Ni kitendo kisicho vumilika hasa kwa nchi inayodai kuwa Kuna freedom of speech/uhuru wa kujieleza.Hauwezi kumzuia mtu kutoa mawazo yake huo si uhuru wa habari.kwa kitendo hiki na sambamba na hiki tunapaswa kukemea serikali ya Uingereza kwa kuwanyima Wananchi uhuru wao mbona wanashindwa na nchi za ulimwengu wa tatu.
Nawasilisha kwenu kwa mawazo yenu
Tuambie ilikuwaje hadi akafungwa.
 
mensaah

JF-Expert Member
Sep 12, 2016
987
1,000
Mkuu ni yule uliyefungwa kwa kupost sura za waliofariki kwenye ajali ya moto wa ghorofa lile? Au kuna mwingine.

Kama ni huyo alipaswa kufungwa hata miaka 10 jela, hebu fikiria kama ndio ndugu yako amefariki kwenye ajali halafu jitu lisilojitambua linapiga picha marehemu na kupost Facebook utadhani aliyekufa ni mbwa
 
hamfcb

JF-Expert Member
Dec 22, 2015
588
1,000
sasa kupiga picha maiti na freedom of speech vinahusiana vp? au unamaanisha freedom of press?...
 
  • Thanks
Reactions: Pep

RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,932
2,000
Alifikiri ni kibongo bongo kuwa wa kwanza kupost FB picha za marehemu
Najua exactly what he did. Nilitaka mleta mada aseme ili tumuone uwezo wake wa kufikiri. Wamezoea kupiga picha za ajali bongo na kutumiana whatsapp/fb kaenda kwa watu serious anataka kuendeleza tabia zake za kijima. Serikali haina muda wa kutetea ujinga, mwache anyooshwe. Btw unaweza kukuta sio mTanzania.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,932
2,000
1. Kila nchi ina sheria na kanuni zake Mkuu., Nchi yeyote kua na freedom unayoiongelea ya 100% haiwezekani....!!

2. Alafu Uingereza bado wana element za Kifalme na Kimalkia so usitegemee uhuru huo unaouzungumzia usiifananishe kama marekani na nyinginezo...!!

3. Si jambo la kiugwana tukiwa wakweli bila unafiki., kupiga picha maiti zilizoharibika alafu kuziweka hadharani in social media ingawa wengi tunafanya hivyo..!!
UK kuna freedom of speech kama US tu.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,522
2,000
Najua exactly what he did. Nilitaka mleta mada aseme ili tumuone uwezo wake wa kufikiri. Wamezoea kupiga picha za ajali bongo na kutumiana whatsapp/fb kaenda kwa watu serious anataka kuendeleza tabia zake za kijima. Serikali haina muda wa kutetea ujinga, mwache anyooshwe. Btw unaweza kukuta sio mTanzania.
Ninasikia jela zao huko msosi on time lakini kuna wababe wanaweza kuutemea kohozi kabla hujaanza kula.
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,839
2,000
Kama umezoea kupost picha za mtu aliechomwa moto au maiti za ajali ya gari huo ni utashi wako na Tabia isiyoweza kuvumilika kwa binadamu waliostaarabika
Freedom of speech ipo sana
Njoo nikupeleke speakers corner ukaongee unalotaka lakini huyu jamaa kupiga picha bag aliyekuwemo maiti na bila haya akafungua na kuipiga tena picha na kuirusha mitandaoni ni Obstracting the coroner
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,932
2,000
Ninasikia jela zao huko msosi on time lakini kuna wababe wanaweza kuutemea kohozi kabla hujaanza kula.
Jela unakosa uhuru tu. Kuna mzee nilikuwa nafanya nae kazzi mwanae akazingua, akafungwa. Yule mzee akafurahi akijua dogo anaenda kunyooshwa. Siku kaenda kumtembelea kakuta wanacheza pool, ukutani kuna flatscreen ina SKY decoder (kama DSTV bongo). Mzee alichukia sana kwasababu yeye hata home hajaweka SKY TV
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,522
2,000
Jela unakosa uhuru tu. Kuna mzee nilikuwa nafanya nae kazzi mwanae akazingua, akafungwa. Yule mzee akafurahi akijua dogo anaenda kunyooshwa. Siku kaenda kumtembelea kakuta wanacheza pool, ukutani kuna flatscreen ina SKY decoder (kama DSTV bongo). Mzee alichukia sana kwasababu yeye hata home hajaweka SKY TV
Haha kuna mbongo aliwekwa ndani kwa drink and drive alipotoka alitupa hiyo ya food on time, English breakfast, roast chicken na jioni cottage pie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom