Uingereza kubaka Demokrasia zaidi Waziri Mkuu kupatina bila ya Uchaguzi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,785
Theresa May anategemewa kurithishwa Uwaziri Mkuu wa nchi ya Uingereza hivi karibuni baada ya mpinzani ndani ya Chama chake anayejulikana kama Andrea Leadsom kubwaga manyanga na kujitoa tena kugombania kiti hicho ndani ya Chama hicho cha Conservative, hivyo basi Myahudi Bi.Theresa May ndiye Waziri Mkuu mpya ajaye wa nchi hiyo iliyoko Bara la Ulaya baada ya Waziri Mkuu wa sasa Cameron kuamua kuachia ngazi baada ya kushindwa kura ya maoni!

Hii itakuwa mara ya pili katika uhai wangu kusikia nchi hiyo ikipata Waziri Mkuu bila ya kuchaguliwa na wananchi kwanza alikuwa Gordon Brown ambaye pia alirithishwa Uwaziri Mkuu bila ya kuchaguliwa na wananchi na Tony Blair!

Lakini kama kawaida watu watatetea hapa na kuja formulas kibao kuhalalisha huu ubakaji wa Demokrasia unaofanywa na Wazungu (Uingereza), kwani kama hili lingefanywa na nchi ya Kiafrika sasa hivi hapa ungesikia Waafrika ambavyo wangetoka povu, fikiria leo hii Raisi Magufuli aamue kumuachia Uraisi Kiongozi wa CCM ampendaye na yeye kujiuzulu Uraisi bila ya sisi kumpigia kura, ndicho kinachotokea Uingereza!

Hivyo kwa kifupi Theresa May anakuwa Waziri Mkuu wa nchi ya Uingereza bila ya kuchaguliwa na Wananchi wa Uingereza kama vile Gordon Brown alivyokuwa Waziri Mkuu wa nchi kwa kupewa kama zawadi na Tony Blair!

Pia huyu Bibi Theresa May wanasema ni pro EU!

Waziri Mkuu mpya Theresia May anayetegemewa kuteuliwa (mpaka Jumatano wiki hii) hivi Karibuni!
81796619-600x387.jpg
 
Unaijua katiba yao inasemaje kuhusu kujaza nafasi ya PM mara aliyepo anapojiuzulu? Unakurupuka kama serikali ya awamu ya 5!
 
Hii itakuwa mara ya pili katika uhai wangu kusikia nchi hiyo ikipata Waziri Mkuu bila ya kuchaguliwa na wananchi kwanza alikuwa Gordon Brown ambaye pia alirithishwa Uwaziri Mkuu bila ya kuchaguliwa na wananchi na Tony Blair!

Hivyo kwa kifupi Theresa May anakuwa Waziri Mkuu wa nchi ya Uingereza bila ya kuchaguliwa na Wananchi wa Uingereza
Eeeh mola!
 
Haikupaswa utukane mwanainchi serikali yake inapaswa tu umueleweshe na ajue ni kipi hakukijua
 
Katiba yao irekebishwe ifanane na nchi walizo tutawala, maana huku wametuachia matatizo
 
Back
Top Bottom