Uingereza: Jamaa hunywa glasi moja ya mkojo kila siku kupunguza Unene!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
Huko nchini Uingereza, jamaa aliyefahamika kwa jina la Dave Murphy, hunywa glasi moja ya mkojo wake kila siku asubuhi na anausifu kwa kumwezesha kupunguza uzito kutoka kilo 127 hadi kilo 76. Kwa kipindi cha miaka sita Murphy amekuwa akinywa mkojo wake, anaosema unahusika si tu kupunguza unene bali pia kumletea muonekano wa ujana.

Je hii ina ukweli wowote na mimi nianze? Unene umenizidia
0e2f78aed7c7092756c90269590d175b.jpg


Urine is a cure-for-all'; British dad loses 112 pounds drinking his own pee

Postmedia Network

[http://storage]

(Llepod/Getty Images)

Urine is the number one drink on this man's beverage list.

A man from Essex County, England claims that drinking his own urine has helped him shed some weight.

Dave Murphy, 54, said his special “urine therapy” has helped him lose 112 pounds. According to U.K.'s Metro News, Murphy spent 30 days in 2012 drinking his own pee.

Murphy told the news outlet he used to drink the liquid body waste cold after letting it cool in the fridge but now downs it warm, twice daily.

“After drinking my urine, I feel healthier and fitter than I've ever done before and I've lost eight stone (112 pounds) in weight,” said Murphy, a father of two adult children.

Since drinking his first glass of pee, Murphy said he's noticed a lot of improvements. Besides the weight loss, Murphy said he has a lot more energy and his bowel movements have improved.

The man also claims he's saved money on food costs because of all the urine he's consumed. He's also used his own pee as a moisturizer and face wash.

Murphy said pee is also an anti-aging agent.

“Urine is a cure-for-all. If people could just change their mentality and preconceptions about this therapy, then anyone can feel the huge benefits,” he said.

Chanzo: 'Urine is a cure-for-all'; British dad loses 112 pounds drinking his own pee | News | Toronto Sun
 
Tusije kuiga tu,maana kwa kuiga mambo ya ughaibuni hatujambo tena tutaongezea na za kwetu sisi tutakunywa mpaka kinyesi.
 
Tusije kuiga tu,maana kwa kuiga mambo ya ughaibuni hatujambo tena tutaongezea na za kwetu sisi tutakunywa mpaka kinyesi.
Labda wewe ndio umesikia hii ''dawa'' leo. Hii imani ni ya siku nyingi sana na wako watu wengi wanaofanya hivyo. Hata hapa Bongo wapo wengi wenye kuamini na kutumia mkojo (wa asubuhi) kama tiba.
 
Labda wewe ndio umesikia hii ''dawa'' leo. Hii imani ni ya siku nyingi sana na wako watu wengi wanaofanya hivyo. Hata hapa Bongo wapo wengi wenye kuamini na kutumia mkojo (wa asubuhi) kama tiba.
Arghh!!..akhh..kwa hiyo dawa ya UTI ni kuwanywa viluilui.
 
Hapo watafiti wakiongezea kua inongeza nguv za kiume ndio utakaposikia watu wanakunywa mpaka mikojo ya wengine na dawa za kuongeza mkojo zitagunduliwa
 
Mama Terry aliwahi kuhamasisha watu kunywa mikojo kuwa inaongeza kinga haswa wagonjwa wa HIV.
 
Back
Top Bottom