Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari.
Nawasilisha.
Wana JF, nakusudia kununua TOYOTA COROLLA SPACIO Old Model 4A au 7A Engine, Naomba nijuzwe ubora wa hizo gari, matumizi ya mafuta na km kuna tatizo sugu linalosumbua hizo gari.
Nawakilisha.
Nawasilisha siyo nawakilisha. Kuwakilisha ni kuwepo au kufanya kwa niaba ya mtu mwingine. Engine 7A ni 10 - 12 km per litre kutegemea na factors kama speed ambayo inatokana na barabara na kusimama mara kwa mara kwasababu ya foleni na umri wa gari pia ni factor nyingine, hicho kiwango nilichoweka ni kwa gari lililo kwenye hali bora. Pia inaweza kutofautiana kutoka matumizi ya mtu mmoja hadi mwingine kwa gari hilo hilo moja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.