Uimara na Ulaji wa mafuta wa Toyota Wish

nyamkuta

Senior Member
Mar 17, 2017
126
95
Salaam wakuu,mwenye uzoefu wa hii Gari naomba anipe maelezo juu ya uimara na ulaji wa mafuta wa Toyota Wish.
Shukran.
 
Na mim nataka kujua, ata uimara wake kweny roads zote, upatikanaji wa vipuli,n.k.
 
Inakula mafuta vizuri sana hasa yenye injini ya 1ZZ kwa safari ndefu utaenjoy sana
 
naomba kuuliza kuna mwezangu anataka kununua gari kwa ajili ya matumizi ya kwake kuzungukia kwenye miradi yake na yeye anapedekeza gari ist new model raum noah subaru anaomba ushauli anategemea kuchukua mwez wa 12
 
To my Experience Toyota Wish ukishindwa kuimudu ni bora uache kufikiria kununua gari. Its the best 1zz na zne vvti engine its the best 16km /lt yaani ndio reading zangu sasa 2yrs
 
To my Experience Toyota Wish ukishindwa kuimudu ni bora uache kufikiria kununua gari. Its the best 1zz na zne vvti engine its the best 16km /lt yaani ndio reading zangu sasa 2yrs
Mkuu, una experience na Spacio 4WD yenye cc 1790 unipe na detail zake za Ubora + Fuel consumption?
 
Back
Top Bottom