Uhusiano wa madishi na Ving'amuzi vyake

Antena na dish ni vitu viwili tofauti labda Risiver ya dish na dish la kingambuzi nyingine hio ndio inaingiliana ila Antena ni mfumo mwingine
 
decoder ya antena upokea mawimbi ya mnara husika
decoder ya dish upokea mawimbi kutoka kwenye satellite, pia dish lolote linauwezo wa kufunga kwnye decoder yeyote ila itakulazimu kubadiri muelekeo tu...
 
Samahani wadau naomba kuuliza je dikoda za antena za startimes zinaweza kufanya kazi na madishi ya zuku. tafadhali mchango wako ni muhimu.
jibu ni hapana mkuu, ila decoda ya dish ya startimes itafanya kazi na dish lolote ikiwa ni pamoja na dish la zuku
 
Samahani wadau naomba kuuliza je dikoda za antena za startimes zinaweza kufanya kazi na madishi ya zuku. tafadhali mchango wako ni muhimu.

Star times hawana dicoder zenye uwezo huo Continental wanazo zenye uwezo was kutumia antena ya kawaida na dish pia.
 
Back
Top Bottom