Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA

sasa hao hawaon kama wanawaumiza?wenzenu sua jina la chuo linawauza hata wakiwa na gpa ndogo,sa nyie c ndo itakula kwenu na ushirika wenu.

senetor nadhan shule haijakusaidia.jadil mada acha majungu.
 
Umeandika vema katika red...lakini kumbuka ajira inaanzia ku-short list majina kwa ajili ya interview sasa kama GPA yako imepunguzwa na mfumo usio sawa unafikiri utaitwa katika interview ili uoneshe uwezo wako?

ila kutakuwa na rationale behind huu mfumo wa GPA basi kama vipi waombe kubadilisha huo mfumo
 
In fact alichokiongea mtoa uzi ni cha msingi sana hata Muhimbili wanatumia system kama ya SUA. Sipingi system wanayotumia SUA au Muhimbili na kwa mawazo yangu ndio fair system kwani haiwezekani aliyepata A ya 100 na mwingine ya 75 walingane ktk ku-calculate GPA. Cha msingi kuwe na uniform formular nchini. Pia hata alama za daraja, sio vyuo vingine kwa mfano mm nimesomea Muhimbili A inaanzia 75 wakati UDSM inaanzia 70 na madaraja mengine yanautofauti bado hapo shule ya Muhimbili ilivyosimama ndo maana kwa degree ambazo ni classifiable pale Muhimbili (only M.D is not classified) huwa hakuna 1st class. Effect za hii mambo ni kubwa sana kwani kwa mfano Scholarship zote wanaangalia GPA bila kujalishai ni ya wapi
 
mkuu unajua GPA za Mzumbe Universty zinavyokuwa calculated?pia naomba kujua kozi zinazotolewa Mzumbe ambazo na SUA wanatoa,otherwise nadiriki kusema umekurupuka kupost au SUA wamewafundisha kuongea bila kufanya research.
swala si aina ya degree zitolewazo swala ni hakuna mfumo sawa katika kucalculate hizi GPA miongoni mwa vyuo hapa nchini..
 
C ndo 2meambiwa 2ctegemee Gpa ya 1st clas wala A. Ukipata A inachakachuliwa inakua B+ au B. Km co kubaniana masters ni nin? Mfumo wa vyuo vikuu tz ni wa kibabe mno.
 
swala si aina ya degree zitolewazo swala ni hakuna mfumo sawa katika kucalculate hizi GPA miongoni mwa vyuo hapa nchini..

wewe siyo tumeshatoka kwenye mada hizo na tumeona kwamba mfumo wa calculation wa GPA SUA+MUCCOBS,MZUMBE,MUHAS wanaformula sawa za calculation.Jadili kama huu mfumo mzuri au mbaya.
 
mkuu unajua GPA za Mzumbe Universty zinavyokuwa calculated?pia naomba kujua kozi zinazotolewa Mzumbe ambazo na SUA wanatoa,otherwise nadiriki kusema umekurupuka kupost au SUA wamewafundisha kuongea bila kufanya research.
Kaka sio malumbano weka vi2 hadharani 2jue.
 
Gpa ya mzumbe wanatumia the same formula wanayotumia SUA, aliileta DVC ACADEMIC mwaka 2007 baada ya kuamia mzumbe kutoka SUA i mean
mchango wa A ya 80 na A ya 90 ni tofauti kwenye GPA, mfano mtu akipata C ya 50 is equal to 2.0 GPA while akipata C ya 59 is equal to 2.9 GPA
kwa hiyo wakuu hata kama hamuipendi mzumbe but msidanganye kuhusu mzumbe, i was there for BAF from 2007-2010 and now i enjoy MU fruits at KPMG,,, there is no place like home go go Mzumbe japokuwa haters wana chuki na wewe

Kuna hoja hapo kwenye blue,thanks keeping us updated.What's the motive for one to engage into that?(see red)
 
kumbe mkuu na wewe unaongea bila kufanya research, na siamini kama SUA mmefundishwa hivyo!nilichotaka kukuonesha ni kwamba calculation ya GPA inayotumika SUA na Mzumbe Chuo Kikuu ni hiyohiyo kwa kukusadia tafuta prospectus ya Mzumbe University(kama unaitaka nipm nikupe) hvyo basi mfano alioutoa hauendani na malengo ya muanzishaji thread kwa sababu GPA zote kwa SUA na Mzumbe zinafanana jinsi zinavyokuwa calculated.MIMI NA JIAMINI KWA SABABU NATIMIZA MSEMO WA NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.Tukirudi kwenye mada nadhani hiyo sxstem inasaidia watu wasome na vilevile pindi unapopeleka gamba lako kama una 3.5 unaonekana upo makini.NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK,TUACHE MALUMBANO TUJENGE TANZANIA ILIYO IMARA. .

Nilimaliza UDSM Civil engineering 2005.At least your fellow managed to put some facts(see post #14) and I salute him for that! Wewe badala ya kuja na facts unaanza kushambulia watu.Come again sijakuelewa hapo kwenye red Mkuu wangu,issue ni 3.5 vs 3.8 GPA's which both are basically upper 2nd but at times treated differently.
 
Nilimaliza UDSM Civil engineering 2005.At least your fellow managed to put some facts(see post #14) and I salute him for that! Wewe badala ya kuja na facts unaanza kushambulia watu.Come again sijakuelewa hapo kwenye red Mkuu wangu,issue ni 3.5 vs 3.8 GPA's which both are basically upper 2nd but at times treated differently.

nyie ndiyo mnaorudisha maendeleo nyuma conclusion ishafikiwa bado unarudia hayo maki2,anza kujadili mada husika,3.5 na ya 3.8 plus calculation za GPA Sua,Mzumbe,Muhas.
 
Umemuona eeh. Blah blah badala ya kushusha nondo za ukweli watu wajue/warekebishe penye makosa.

engineer mbona facts zimeshawekwa na wajumbe,anza kusoma post ya kwanza hadi ya mwisho,turudi kwenye mada wakuu,je mfumo wa GPA Sua,Mzumbe,Muhas ni fair.
 
Mi naamini m2 aliyepata 3.5 ana uwezo na ni mzuri sawa tu na aliyepata 3.8 wa vyuo vingine vinavyotumia mifumo ambayo ni tofauti na Sua+muccobs, mzumbe, na muhas. So c fair ku2bagua kama min nlipata 3.5 lakn nafac za tutorial ass udom ckuomba coz wanataka 3.8. Kwa hy 2naomba vyuo vya kati kama Tia bt naamini wangecalculate kama wenzetu 2ngekuwa mbali dats y tunahitaj waajili waelewa
 
C ndo 2meambiwa 2ctegemee Gpa ya 1st clas wala A. Ukipata A inachakachuliwa inakua B+ au B. Km co kubaniana masters ni nin? Mfumo wa vyuo vikuu tz ni wa kibabe mno.

itabidi kuomba kubadilishiwa hyo system kwa kutumia uongoz wa wanafunzi au msome sana mpate angalau hicho kidogo
 
kweli we mkweche wa mawazo na akili watu wa sua ni wamuhimu sana ndo wanakufanya uende toilet wew, so unaposema mameneja naona akili haikutoshi nan kakwambia umeneja unasomewa?

Hee! Kwani umeambiwa umeneja ni kiti cha ufalme unazaliwa nacho tu, management inasomwa ww ni taalum lyk any other!..aargh How old r u?
 
Sifa ya kufundisha chuo kikuu inayotambulika na TCU ni 3.5 and above na si 3.8 kama wadau wanavyodai kwa hiyo mwenye GPA hiyo anaweza pata kazi chuo kikuu ya kufundisha but tunapokuja kwenye competition ndiyo unaweza kukuta hawakuchukui kwa vile wapo watu wenye first class.Lakini kuna vyuo ambavyo wamejiwekea utaratibu wao wa kuchukua GPA ya 3.8 kama UDSM,SUA,OPEN na baadhi ya private.Sasa hapo unaweza kukuta mtu una first class mwenzio ana 3.5 mkaomba kazi wakati mmoja wewe ukaachwa 3.5 akachukuliwa usiulize kwa nini maana nae ana sifa hamna atakayewauliza (TANZANIA YETU).Nawashauri wale wote wenye GPA 3.5 kama wana uwezo wapige masters hasa Sayansi opportunities zipo kibao first degree zina compettion sana na vyuo vimekuwa vingi vinavyotoa degree.Na si lazima ufundishe chuo kikuu tu kuna vyuo ambavyo vipo chini ya NACTE navyo mishahara ni ileile kama ya vyuo vikuu vyuo hivyo ni kama DIT,Arusha tech,Veta,vyuo vya ardhi kama Morogoro,Tabora na vinginevyo.Kwa hiyo kama una GPA hiyo ya 3.5 bado una nafasi ya kufikia ndoto yako.Nawasilisha.

Vipi kuhusu vyuo kama LITI,MATI wanachukua qualification zipi?
 
Back
Top Bottom