Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA

Gpa ya mzumbe wanatumia the same formula wanayotumia SUA, aliileta DVC ACADEMIC mwaka 2007 baada ya kuamia mzumbe kutoka SUA i mean
mchango wa A ya 80 na A ya 90 ni tofauti kwenye GPA, mfano mtu akipata C ya 50 is equal to 2.0 GPA while akipata C ya 59 is equal to 2.9 GPA
kwa hiyo wakuu hata kama hamuipendi mzumbe but msidanganye kuhusu mzumbe, i was there for BAF from 2007-2010 and now i enjoy MU fruits at KPMG,,, there is no place like home go go Mzumbe japokuwa haters wana chuki na wewe
Si kweli. A ni 5 , B+ ni 4, B ni 3 na C ni 2. Sasa apo upate A 70 na mwezio apate ya 85 wote wanahesabu 5.
 
Ukichunguza sana vyuo vingi bora barani afrika hata ulaya wanataka tu first class ama upper second, ije hapa tanzania ambapo kuna GPA nyingi tu kubwa wamepewa wanafunzi isivyo halali nawasilisha
Ulaya wanataka publication kwenye journal kubwa
 
Back
Top Bottom