Uhusiano kati ya Simu ya Mkononi na Wapenzi

Kinaeleweka

Senior Member
Nov 10, 2014
145
104
Habari wanaJf.

Nimekuwa nikisikia mengi malumbano na migongano mbalimbali baina ya wapenzi na wanandoa.

Migongano ambayo 90% inasababishwa kupitia simu za mikononi.

Kwa mfano,me/ke anapoziona text za kimapenzi kupitia cm ya mpz wake au cm ikapigwa ya mchepuko wakati wapenzi wakiwa pamoja.

Kuna wengine wakaenda mbali zaidi kwa kuamua kutafuta suluhisho ili kupunguza au kuondoa ugomvi kati ya wanandoa kwa kuamua kutokugusa au kushika cm ya mpz wake Kwa madai kuwa text nyingine zaweza tumwa kimakosa au mtumaji akajisikia Kwa vyoyyote kuandika na kutuma text ajisikiavyo hata kama hakuna uchepushaji unaoweza kuendelea.Na hasa wakina dada ndo wamekuwa wakitetea sana swala la ku-keep distance cm baina ya wapenzi.

Na kwa dunia ya leo,uwaminifu wa wapenzi na wanandoa ni kupitia cm ya mkononi.

Tushauriane nn kifanyike ili kunusuru hii hali kwani mapenzi yamekuwa yakivunjika kila leo.

Naomba iingizwe kwenye hansard ya wanajamii Fr.
 
Back
Top Bottom