Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,954
WanaJamvi nawasalimu,
Hili swala limekua likinitatiza kwa kitambo kidogo.. Mimi nimekulia huko mkoa kando na ziwa, wakati nakua ilikua kawaida yetu sisi vijana wa rika moja kwenda kuoga pamoja ziwani na kufanya michezo ya kuogelea huko.
Nakumbuka kuna baadhi ya vijana wenzangu walipata wakati mgumu sana pindi tulipokwenda kuoga kwa jinsi walivyo taniwa na kudhihakiwa kwa maumbile yao madogo.
Siku moja, mmoja wa wahanga bullying zikamshinda aka-fight back na kusema Nyie mtanieleza nini wakati darasani nawashinda hamna akili wote
Baadae nkaja kugundua wote waliokua bullied kwa sababu hiyo walikua wakifanya vizuri sana kila mmoja kwa darasa alilokua
Haikuishia hapo hata sekondari nako ilikua namna hio, kwani jamaa hata kuoga in public hawakua wanaweza.. watazuga mpaka mtoke!
Baadae nikaona chapisho moja linalo-rank races na penis size
List ilikua hivi
1 Watu weusi
2 Watu wa ulaya magharibi (wazungu)
3 Watu wa asili ya Asia
Hivyo waafrica wanaongoza kwa size ya man hood wakifatiwa na wazungu huku asia wengi wao wakiwa below average
Lakini nikaona chapisho jingine liki-rank races na IQ.
list ilikua hivi;
1. Asia waanaongoza wengi wao wakiwa above average IQ
2. Wakifatiwa na watu kutoka ulaya magharibi halafu
3. Waafrica wengi huwa na low IQ
Nilipo-compile hizi mambo nikahisi kuna uhusiano mkubwa kati ya IQ na penis size, yani walio empty upstairs hua na maumbile makubwa and vise versa is true
Naomba michango wakuu kama kuna mtu anaufahamu zaidi
Karibuni!