Uhusiano kati ya mapenzi na maumbile

so wenye masaburi makubwa yanatumiaka kama kiandikio eeh!...................asante kwa kunijuvya !
 
siyo kweli kila mtu ana chaguo lake kama mimi napenda sana wanawake wenye sura nzuri maumbile aijalishi ila face huwa nadata
 
Watu wengi wana miss use neno upendo (mapenzi, love). Kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani. Sasa sijuhi ulikuwa una maana ya love au kutamani. Maana sina hakika kuwa mwenye wowowo ana feel more loved na partner wake than asiye nalo. Nadhani unaongelea matamanio ya wapita njia si wamiliki (owners).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom