Uhuru wetu toka kwa Magamba na Mafisadi uko jirani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuru wetu toka kwa Magamba na Mafisadi uko jirani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalumbesa, Jun 7, 2011.

 1. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mwenendo wa hali ya kisiasa nchini unaonyesha kabisa chama kilichopo madarakani(MAGAMBA OR MAFISADI PARTY aka CCM) kimeshindwa kuliongoza Taifa na kuleta maendeleo kwa wananchi na Taifa kwa ujumla..Badala yake chama hicho kimegeuka kuwa cha upinzani na chama kikubwa cha upinzani CHADEMA kinaonekana ku take control in direct katika mambo mengi hasa kwa vile kimefanikiwa kupata support ya wananchi wengi..Hivyo kile wanachosema CHADEMA, chama tawala kinalazimika kukifuata maana nyuma ya CHADEMA kuna watanzania wengi zaidi...Pia inaonekana UFISADI mkubwa ndani ya MAGAMBA PARTY umesababisha mgawanyiko mkubwa ndani ya chama hicho na ni dhahiri kuna viongozi wachache ndani ya chama hicho wasioridhishwa na mwenendo wa chama chao kiasi cha kuwa tayari chama hicho kife ili kuleta ukombozi nchini...kama Raisi aliingia madarakani kwa kampeni zilizobebwa na fedha za ufisadi Je tunawezaje kusema UFISADI si moja ya nguzo za chama hicho?kuna sababu gani kuwanyooshea vidole wenzenu wachache kwamba wao ni magamba wakati nyote mna magamba?..Hata mwenyezi Mungu amechoshwa na unyonyaji mkubwa mlioufanya,miaka 50 ya kuifanya Tanzania shamba la kuvuna mnayotaka kwa maslahi yenu na familia zenu inatosha,someni alama za nyakati!!Tunahitaji Uhuru wetu toka kwenu mafisadi na magamba na safari hii tutakuwa tayari kwa lolote,msije mkajidanganya kuchakachua wala kuchakachaka tutawatoa tu uvumilivu umefika mwisho!!
   
Loading...