uhuru wa zanzibar

njeru

Member
Nov 15, 2010
12
0
ni furaha iliyooje kwa watanzania bara leo tarehe 9 desember kusherehekea uhuru lakini ja unafahamu kuwa uhuru wa zanzibar ni kesho tarehe 10
 
uhuru wa kweli wa zanzibari ni 12 january kesho ni uhuru wa bandia na haujamkomboa mzanzibar
 
zanzibar ilipata uhuru wake kutoka waingereza na kuabidhiwa kwa sultan na baraza la mawaziri, chini ya waziri mkuu desemba 10 1963. serikali ya sultani ilipinduliwa na john okello jan 1964. serikali ya zanzibar chini ya sultan ilikuwa 'nchi huru' ikitambuliwa na umoja wa mataaifa. lakini wabongo, kwa kupenda kukunja ukweli, tunasema mapinduzi yalifanywa na karume na genge lake, na uhuru wa desemba 10 ulikuwa bandia. miafrika ndivyo ilivyo.

macinkus
 
kiufupi msitake kuchekesha watu mzungu mkoloni kutoa uhuru kumpa mkoloni wa kiarabu huo tuuite uhuru ?

tuwe wakweli na wawazi uhuru uliomkomboa mzawa mzanzibari ni mapinduzi ya zanzibar na hilo liko wazi
 
kiufupi msitake kuchekesha watu mzungu mkoloni kutoa uhuru kumpa mkoloni wa kiarabu huo tuuite uhuru ?

tuwe wakweli na wawazi uhuru uliomkomboa mzawa mzanzibari ni mapinduzi ya zanzibar na hilo liko wazi

Uhuru ni kitu kingine na mapinduzi ni kitu kingine. Au una maana na sisi tukimuondoa mkoloni CCM then siku ya uhuru inabadilika siyo??
 
kiufupi msitake kuchekesha watu mzungu mkoloni kutoa uhuru kumpa mkoloni wa kiarabu huo tuuite uhuru ?

tuwe wakweli na wawazi uhuru uliomkomboa mzawa mzanzibari ni mapinduzi ya zanzibar na hilo liko wazi

Mtu wa Pwani,
Njeru,

Mimi nafikiri Zanzibar wafanye sherehe mbili:-

Moja hiyo ya Njeru, Uhuru wa zanzibar
na nyengine iwe
Sherehe za Mapinduzi

Nakubaliana kabisa na Mr. Zero kuwa siku ya uhuru na siku ya mapinduzi ni vitu viwili tofauti. Hata kama vyote vilikuwa na malengo yanayofanana japo kwa mbali. Hakuna haja ya kuendeleza misimamo mikali.
Zanzibar yenu imeingia hatua mpya ya GNU.
sikilza hapa

http://www.youtube.com/watch?v=GQO5ApOS5Lc

Sasa tuachieni sisi huku bara, tutoane kijasho, tupigane mieleka.

Kila la heri kwenu nyote.
 
Waarabu wa zanzibar si wakoloni maana walizaliwa pale. Sasa wale wenye asili ya asia si watanzania leo? Mbona harun ali suleiman ni waziri kule zanzibar lkn ni muhindi? Na yule sultan mugheir mbona ni mwarabu lkn alikua waziri ktk serikali ya rais amani karume? Na rostom aziz je mbona ni mbunge? Uhuru wa zanzibar ni wa mwaka 63 mapinduzi ilikua ni kuwapindua wazanzibari halisi na kuwatawalisha wachache kwa maslah ya wachache kupitia tanganyika.
 
Mapinduzi ni JAN 10, 64 na lengo lililowekwa inadiwa kuwa ni kuwaondoa madhalim, lakini ufahamu kuwa uhuru wa kijiwe (ZANZIBAR) ni DEC10,63 na waziri mkuu wa kwanza ni MOHAMED SHAMTE na kama si uhuru wa kweli basi Zanzibar isingepewa kiti katika Baraza la Umoja wa Mataifa mwezi tu baada ya uhuru huo. Kwa kweli ni vyema tufahamu history ya ukweli na si kuangalia influence zaidi. kwa
 
Back
Top Bottom