Uhuru gani?ni furaha iliyooje kwa watanzania bara leo tarehe 9 desember kusherehekea uhuru lakini ja unafahamu kuwa uhuru wa zanzibar ni kesho tarehe 10
Yeah ni yule sultan alizipiga na wazungu ila walimzidi nguvu akawa mpole!nasikia zanzibar ilishawahi kupigana vita na uingereza......
Yeah ni yule sultan alizipiga na wazungu ila walimzidi nguvu akawa mpole!
kiufupi msitake kuchekesha watu mzungu mkoloni kutoa uhuru kumpa mkoloni wa kiarabu huo tuuite uhuru ?
tuwe wakweli na wawazi uhuru uliomkomboa mzawa mzanzibari ni mapinduzi ya zanzibar na hilo liko wazi

nasikia ndo vita fupi kuliko vita zote....only 7 hrs